Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

MSANII LINAH AMPONGEZA ALIYEKUWA MME WAKE KWA KUOA...

Msanii wa Muziki Linah amesema anampongeza Ex wake kwa kufunga ndoa na mwanamke mwingine kwani anaamini halikuwa chaguo lake.

Read more

IRENE OWOYA AJA NA HII MPYA BAADA YA KUKAA KIMYA KWA MUDA...

Mwigizaji wa filamu Irene Uwoya baada ya ukimya wa muda mrefu bila kuachia kazi, amejipanga kuachia Tamthiriya yake iitwayo "DramaQeen"

Read more

MENEJA BABU TALE AFUNGKA HAYA MAZITO JUU YA WASANII WAKE KUWA NA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA WANAWAKE WANAO WAZIDI...

Hii ni baada ya Kambi ya WCB kuonekana wasanii wake kutoka kimapenzi na wanawake wanaowazidi umri, Babu Tale ametweleza haya 'Sisi tunameneji wasanii hatumeneji hisia zao, lakini ikitokea msanii amempenda mwanamke fulani tunamuacha kwasababu ni mapenzi...

Read more

MAGUFULI AMSUKUMIA ZITTO UKAWA...

Uamuzi w Chama cha ACT-Wazalendo kinachoongozwa na Zitto Kabwe kutaka kuungana na vyama vinavyounda Umoja wa Kaatiba ya wananchi (UKAWA ) kupinga kufukuzwa kwa wa Bunge saba wa upinzani kutoshiriki vikao vya Bunge una dalili kuchochewa misimamo ya Serikali...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOANDIKA LEO JUNI 5, 2016...

Nikiendelea kukusogezea habari kuu zilizojitokeza katika Magazeti ya Tanzania leo mimi ni mwandishi wako Elipidius Geofrey wa STARZTZ..

Read more

WAJITOKEZA KUMKINGIA KIFUA NAIBU SPIKA TULIA...

Kwa wiki moja wabunge kutoka vyama vya upinzani wamekuwa wakitoka nje kila mala Dkt. Tulia anapoingia kuongoza vikao vya Bunge, kutekeleza azimio lao la kutohudhuria vikao vinavyoongozwa na Naibu Spika wa Bunge Dk. Tulia Ackson.

Read more

HAYA SASA KAMA ULIKUWA NA MASWALI MENGI JUU YA SLATAN ATACHEZEA TIMU GANI MSIMU UJAO JIBU HILI HAPA...

Ndugu msomaji najua ulikuwa na mswali mengi juu ya huyu Naodha wa timu ya Sweden Zlatan Ibrahimovic atacheza timu gani Msimu huu ujao basi majibu yanaelekea kupatikana baada ya Sky sport kuripoti kuwa staa huyo yupo njiani kuiunga na klabu ya Man Uni...

Read more

MREMBO GIGY MONEY AMCHANA MAKAVU NEY WA MITEGO...

Mrembo machachari sana, Gigy Money amedai ni muda rapa Ney wa Mitego kubadilika kwasababu anachokisikia kwenye nyimbo zake ni taarabu na sio hip hop ya ukweli.

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974