Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

GERRY TAGGART AMZUNGUMZIA VARDY

Vardy Mlinzi wa Zamani wa Leicester City Gerry Taggart amesema kuondoka kwa Jamie Vardy kwenda Arsenal kunaweza kuwa janga kwa Leicester. Vardy ambaye jana alitegemewa kutoa tamko lake la kuhamia kwa washika Bunduki mpaka sasa hajasema chochote na ameambatana...

Read more

WANAFUNZI WAHUKUMIWA BURUNDI.

Polisi nchini Burundi inawashikilia kundi kubwa la wanafunzi wa sekondari kwa kosa la kuharibu picha ya rais wa nchi hiyo Pierre Nkurunziza. Vijana hao wanakabiliwa na kosa la kumtukana kiongozi wa nchi, kosa ambalo adhabu yake ni kifungo cha miaka mpaka...

Read more

ANDY MURRAY AHITAJI MAPUMZIKO ZAIDI.

Andy Murray Katika Tenisi Andy Murray amesema angependa kuyapa kipaumbele mapumziko katika kuelekea Wimbledon baada ya kupokea kipigo kutoka kwa Novak Djokovic katika French Open. Hili ni taji la kwanza la French Open kwa Mserbia Djokovic na anakuwa mtu...

Read more

BUNGE KUZUNGUMZIA SAKATA LA NAIBU SPIKA.

Naibu Spika, Dk Tulia Ackson KATIBU wa Bunge, Dk Thomas Kashillilah leo ataeleza kinachoendelea kuhusu kusudio la Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kutaka kumwondoa madarakani Naibu Spika, Dk Tulia Ackson (pichani). Kambi hiyo inayoongozwa na Mwenyekiti...

Read more

MUFTI AOMBA RAMADHANI ITUMIKE KUOMBEA AMANI.

Mufti Wa Tanzania, Shekhe Abubakari Zuberi Ally WAKATI Waislamu duniani kote wakitarajia kuanza kutekeleza moja ya nguzo tano za dini yao kwa kufunga mwezi mtukufu wa Ramadhani, Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limewataka Waislamu nchini kutumia...

Read more

MAGUFULI AMUIBUKIA MZEE WA UPAKO.

Rais John Magufuli akiagana na Mchungaji Anthony Lusekelo Katika Kanisa Lake La Maombezi Lililopo Ubungo Kibangu Jijini Dar es Salaam. RAIS John Magufuli amelitembelea Kanisa la Maombezi, linaloongozwa na Mchungaji Antony Lusekelo (Mzee wa Upako) lililopo...

Read more

NI KATIKA MWONEKANO MZUURI KABISA WA KANYE WEST NA MKE WAKE...

Kany West akiwa na mke wake wakiendelea kula bata huko Los Angeles Marekani. soma alafu acha comment ili akipita ajue umeona.

Read more

STAA JACKLINE WOLPER AFUNGUKUKA HAYA KUHOFIA PICHA ZAKE ZA UTUPU KUVUJA MTANDAONI...

Staa wa bongo movie Jackline Wolper yuko katika wakati mgumu kufuatia kuahidiwa na aliyemtaja kuwa mpenzi wake wa zamani akimtishia kuvujisha picha zake za utupu.

Read more

STAA WEMA SEPETU ASEMA NI 'BRAND' LAKIN HAITUMIKI TU...

Staa wa bongo Movie Wema Sepetu mrembo mwenye sifa tele, mrefu, mwenye sura na mg'ao, mwenye macho meupe makubwa ya kuvutia, pua fupi na midomo minene akiwa na mdomo wenye mwanya uliokaa kichokozi kabisa, amesema yeye ni 'brand' lakini hatumiki bule.

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974