Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

RAIS OBAMA ALAANI MAUAJI YA ORLANDO

Rais wa Marekani,Barack Obama amelaani mauaji yaliyotokea Orlando Rais wa Marekani,Barack Obama amesema shambulio la risasi katika Klabu ya usiku mjini Orlando ni la kigaidi na ni kitendo cha chuki Takriban watu 50 wamepoteza maisha na wengine 53 wamejeruhiwa...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HABARI HIZI LEO June 13, 2016 KWENYE UDAKU, HARDNEWS,NA MICHEZO.

MAGAZETI ya leo June 12 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea

Read more

NI MSANII QUICK RACKA AKIFUNGUKA MENGI JUU YA STAA KAJALA...

Akifunguka mengi Racka amesema msanii wa Bongo movi Kajala Masanja katika Enewz Quick Racka alisema kuwa yeye na msanii huyo wa bongo movi ni washkaji na marafiki wa kalibu sana na urafiki wao una miaka miwili sasa, huku kila mtu akiwa na kazi yake.

Read more

NI MREMBO HAMISA MOBETO AKIFUNGUGA MENGI JUU YA MODEL WA BONGO...

Mwanamitindo Hamisa Mobeto amewataka wazazi kuwaacha watoto wa kike/ wakiume waingie kwenye fashion na waachane na dhana ya kwamba kuingia kwenye fashion ni uhuni.

Read more

NIDA YAANZA KUTOA VITAMBULISHO VYENYE SAINI...

Kaimu mkuu wa kitengo cha mawasiliano Serikalini kutoka mamlaka ya vitambulisho vya Taifa (NIDA) Bi.Rose Mdami akiwaeleza waandishi wa habari jana jiji ni Dar es salaam kuhusu zoezila utoaji wa vitambulisho vipya vyenye saini ya mwenye kitambulisho. Kulia...

Read more

RAPA NEY WA MITEGO AZIDI KUWASHUKIA HEWANI BONGO MOVI...

Staa wa Bongo fleva Ney wa Mitengo bado anaendelea kuwapa makavu live wasanii wa bongo movi hasa wakwaluaji wanaosubili vijana wa Bongo fleva wawe juu ndipo watoke nao kimapenzi.

Read more

HAKUNA USIRI TENA SASA, MREMBO CHYNA ADHIBITISHA UJAUZITO WAKE...

Ni baada ya yeye kupost picha zikionyesha ujauzito wake, pita alafu tupia comment aone una maoni gani juu yake.

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974