Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

STARZTZ

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974

MSANII MWASITI KUACHIA NGOMA YAKE MPYA NA CHID BENZ...

Msanii Mwasiti Almas amesema Chidi Benz ni msanii anayempenda na kumuheshimu sana kwani kwani amemsaidia kwa kiasi kikubwa mpaka alipofikia hapo.

Read more

SHILOLE AWA VIDEO QEEN KWENYE VIDEO YA MANFONGO 'HANAGA USHEMEJI...'

Msanii wa Nyimbo ya Singeli Manfongo amefunguka katika kipindi cha Enews na wimbo wake mpya wa 'Hainaga ushemeji' ambayo Video qeen wake ni mwanadada Shilole.

Read more

BONDIA FLOYD MAYWEATHER AKIWA KATIKA NDEGE YAKE MPYA YA DHAHABU...

Bondia maarufu Duniani Floyd Mayweather ameingia kwenye headlines tena baada ya kununua Ndege nyingine ya Dhaabu ya kutembelea, hii ni Ndege yake ya pili kwani amedai ile ya kwanza haikidhi mahitaji yake 'hainitoshi'

Read more

MSANII BEN POL ATAFUTA LABEL YA KUSIMAMIA KAZI ZAKE...

Mkali huyu wa nyimbo ya 'Moyo mashine' Ben Pol amesema kwasasayupo tayari kusaini kwenye Label yoyote ambayo itakuwa na nia ya kumpeleka mbali kimziki.

Read more

MSANII NUH MZIWANDA AZIDI KUTUPIA VIJAMBO KWA SHILOLE...

Msanii huyu wa Mziki, Nuh Mziwanda ameendelea kumponda aliyekuwa mpenzi wake Zuwena Muhammed alimaarufu kama Shilole kwa kusema sio mwana muziki bali ni mcheza Shoo.

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974