Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

YOUNG DEE AFUNGUKA LIVE JUU YA UTUMIAJI WA MADAWA YA KULEVYA...

Rapper kutoka Bongo fleva Young Dee amerudi kwenye uongozi wake wa zamani wa MDB Record ambao uko chini ya Maximilian Rioba. Miongoni mwa vitu alivyoviongea ni pamoja na kutumia madawa ya kulevya yapata mwaka mmoja na miezi minane sasa.

Read more

KAMANDA KOVA AAGWA RASMI LEO MOSHI...

Ni Jue 22, 2016 aliyekuwa Kamanda wa kanda maalumu ya Dar es salaam Suleiman Kova ameagwa leo rasmi katika viwanja vya Chuo cha mafunzo ya taaluma ya Uaskari Moshi (MPA) kilichojulikana kwa jina la CCP.

Read more

MGOMBEA URAIS MAREKANI DONALD TRUMP ANUSULIKA KUUWAWA...

Mwanaume mmoja wa Uingereza anatuhumiwa kupola bunduki ya Afisa mmoja wa polisi katika Mkutano wa kisiasa wa Donald Trump na kutaka kumuuwa Mgombea huyo. Kwa mujibu wa Stakabadhi za Mahakama Michael Sandford anasema kuwa ameendesha gari hadi Las Vegas...

Read more

WEMA ATAMANI KUKUTANA NA DIAMOND KUMALIZA TOFAUTI ZAO...

Ni muda sasa umepita baada ya Diamond kuachana na Wema Sepetu, nani aliyekuwa hajui mahusiano ya Wema na Diamond? kwakweli atakuwa hayupo. Lakini yalikuja kuzima kama mshumaa na Diamond kutengana na Wema, hali hiyo imemchosha mwanadada Wema Sepetu na...

Read more

LULU MICHAEL AAMUA KULUDI CHUO NA CHUKUA KOZI YA...

Lulu aamua kufunguka juu ya anachokisomea baada ya Mashabiki zake kuuliza maswali mengi baada ya kumuona mala kwa mala akipost picha akiandika maswala yanayohusu chuo. Lulu amefunguka akisema anachukua Telecommunication Engineering huku akiwa anagoma...

Read more

BABA ATIWA MBALONI BAADA YA KUMBAKA MTOTO WAKE MWENYE UMRI WA MIAKA MITATU...

Hili ni tukio lilito tokea Juni 7 Mkoani Shinyanga baada ya mtoto kufikishwa kwenye kituo cha Afya na kubainika kufanyiwa kitendo hicho cha kikatili.

Read more

MSONGAMANO MIKUMI WACHANGIA ONGEZEKO LA VVU...

Imeelezwa kuwa mamlaka ya mji mdogo wa Mikumi imekuwa na msongamano wa watu magari ya mizigo kutoka ndani na nje ya Nchi Agnes Mgonja amesema hayo alipokuwa akizungumza namna ya kusaidia wakazi wanaoishi katika maeneo ya barabara likiwemo eneo la Mik...

Read more

NYUMBA ZATEKETEA MOTO KATIKA KISIWA CHA UVUVI WILAYANI SENGEREMA...

Nyumba kadhaa za wakazi wa kisiwa cha Uvuvi cha Kome Mchangini Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza zimeteketea kwa moto usiku wa kamkia leo. Akiongea kwa njia ya simu kutoka kisiwani humo Ofisa mtendaji wa kata ya Buhama, Musa Mwilomba amesema chanzo cha...

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974