Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

SUPPER STAA DIAMOND PLATNUMZ AWATAKA WATANZANIA KUMWUOMBEA ARUDI NA TUZO...

Wakati akisafiri kuelekea Marekani kwaajili ya kushiliki utoaji wa tuzo za BET, Msanii huyu wa kizazi kipya Nassibu Abdul "Diamond" amewaomba Watanzania waendelee kumuombea ili arudi na tuzo hizo zinazotolewa Juni 26.

Read more

LINA SANGA AJA NA HII MPYA MTANDAONI NA KUWAACHA MASHABIKI WAKE KATIKA HALI YA SINTOFAHAMU...

Baada ya Linha Sanga kupoteza acount yake ya Instagram yenye zaidi ya followers milioni 1.3, pamekuwapo na maneno mengi, wapo wanaosema ameiuza na kufungua nyingine.

Read more

MAPENZI MOTOMOTO KATI YA WASANII RUBY NA ASLAY...

Katika mandao wa Instagram kumekumbwa na gumzo kubwa linalowahusu wasanii wawili wa bongo fleva mmoja akiwa anatokea katika Mkubwa na wanawe (Aslay) na mwingine ni mwanadada mwenye voko kali kabisa kutoka katika mikono ya fiesta super Nyota Diva (Rub...

Read more

MMILIKI WA MAZEMBE AHUKUMIWA KIFUNGO JERA...

Mgongombea upinzani Nchini Jamhuri ya Kidemocrasia ya Congo Moise Katumbi amehukumiwa kifungo cha miaka 3 Jela na kupigwa faini ya dola milioni 6 kwa kosa la kununua nyumba kinyume cha sheria kwenye mji ulio mashariki mwa nchi wa Lubombasi.

Read more

SERIKALI KUTOA MASHARTI MAZITO KWA TAASISI ZA DINI JUU YA ULIPAJI KODI...

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango ametoa ufafanuzi huo mjini Dodoma wakati akiongea na vyombo vya Habari ili kutoa ufafanuzi wa baadhi ya hoja zilizotolewa na wabunge wakati wa kujadili bajeti kuu ya Serikali iliyopitishwa juzi na Bunge.

Read more

LOWASSA KUSAIDIA WATOTO YATIMA DAR ES SALAAM...

Aliyekuwa mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Chadema, Edward Lowassa amewataka watanzania kuwajali watu wenye mahitaji maalumu sanasana kwa kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan.

Read more

NEY WA MITEGO AUMBULIWA LAIVU NA MREMBO SIWEMA...

Emmanuel Elibariki alimaarufu ama Ney wa Mitego yamemkuta makubwa baada ya mzazi mwenzie kutoka jera alikokuwa akitumikia kifungo, baada ya kurudi kutumikia kifungo cha nje amemchana makavu Ney aliyekuwa akidai kwamba alikuwa anapambana kumsaidia.

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974