Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

YULE MUHARIFU MBABE WA MAGENGE AKAMATWA...

Mmoja wa Magenge makubwa zaidi ya uharifu Nchini Italia ambaye amekuwa akitafutwa kwa miaka 20 amekamatwa, alikamatwa katka eneo la Kusini la Carabria akiwa akikimbia hukumu ya maisha namashtaka ya mauaji.

Read more

DIAMOND PLATNUMZ ATOA UJUMBE HUU JUU YA UJIO WA NGOMA YAKE MPYA...

Diamond Platnumz ametoa ujumbe huu baada ya kukosa tuzo katika shindano la BET lililofanyika Nchini Marekani nakuachia ujumbe huu katika ukurasa wake wa twitter "Haya ongeeni vizuri na waganga wenu baada ya siku nne naachia ile mashine!"

Read more

CHADEMA WATAFUTA NJIA MBADARA BAADA YA RAIS MAGUFULI KUTAKA SIASA ZIFANYWE 2020 (WAKATI WA UCHAGUZI UJAO)...

Chama cha Demockrasia na maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani kinatafakari ni atua gani ya kufuata baada ya Rais John Magufuli kutaka siasa za nguvu zifanyike wakati wa Uchaguzi mkuu ujao kauri inayotafsiriwa kuwa ni kupiga marufuku shughuli za Kisiasa....

Read more

NI MCHEZO WA YANGA NA TP MAZEMBE UTAKAO CHEZWA JUNE 28, 2016 KIINGILIO NI BURE...

June 25, 2016 mkuu wa Idara ya Habari na mawaniliano wa klabu ya Dar es salaam Young Africans Jery Muro alitangaza viingilio vya mechi yao ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika dhidi ya TP Mazembe itakuwa na kiingilio kati ya Tsh. 7000 hadi 30,000.

Read more

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO NA VYUO HAYA HAPA...

Ofisi ya Rais- TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha tano na Vyuo vya ufundi kwa mwaka 2016. Ikiwa wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka katika Shule za serikali na zisizo za Serikali. Jumla ya wanafunzi 65,720...

Read more

AFANDE SELE AACHA GUMZO BAADA YA KUTAJA IDADI YA WANAWAKE ALIO NAO...

Msanii wa Muziki na Mwanasiasa kutoka Mji Kasoro bahari, Afande Sele, amefunguka na kusema kwasasa yeye hatarajii kuoa bado yuyupo yupo kwanza ingawa amekili wazi kuwa yupo na wahusiano na wanawake kama sita hivi ambao wanamsaidia kumtunzia [..]

Read more

RAIS MAGUFULI AFUNGUKA YAKE "ATA KUZIBA MIDOMO NI DEMOKRASIA"...

Akizungumza jana Ikuru jijini Dar es salaam Rais John Pombe Magufuli amewataka wanasiasa waliopewa nafasi za kuwakilisha wananchi wajikite zaidi katika kuhudumia wananchi na kutimiliza mambo walio ahidi katika kipindi chao cha Kampeini.

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974