Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

WATU WATANO, NA 13 KUJERUHIWA JIJINI MWANZA...

Watu watano wafariki dunia na 13 kujeruhiwa baada ya Ajali ya Basi lenye namba za usajili T. 449 BCB mali ya Kampuni ya Supper Sami lililokuwa likitoka Dar es salaam kwenda Mwanza. Ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia leo katika maeneo ya Bashini Kata...

Read more

RAY J ADAI 'UCHIZI' WA KANYE WEST UNAKARIBIA KUUVUNJA UHUSIANO WAKE...

Ray J hajapenda kuwekwa kwenye wimbo Famous wa Kanye West,Ray J aliyewahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi Kim Kardashian anaonekana akiwa mtupu amelala kitandani na mastaaa wengine, akiongea na Entertainment Tonight kwenye tuzo za BET, Ray J aliseema alishangaa...

Read more

RAIS WA ARJENTINA AMUOMBA MESSI KUTENGUA MAAMUZI YA KUJIUZULU SOKA...

Zimepita siku chache Kiungo huyu wa Timu ya Argentina alitoa kauli ya kujiuzuru na Mpira baada ya katika mchezo huo kukosa Penart.

Read more

VIDEO: KAMA ULILIKOSA BAO LA TP MAZEMBE JANA DHIDI YA YANGA HILI HAPA...

Baada ya mchezo wa jana kuisha uliokuwa ukizipambanisha timu mbili ya TP Mazembe na Yanga Sport Crub, Mchezo uliisha Yanga wakikubbali kipigo cha bao 1-0 toka kwa wanzani wao.

Read more

DOGO JANJA AWAJIBU WANAOMBEZA DIAMOND KWA KUKOSA TUZO YA BET...

Ni msanii wa hip hop kutoka katika Tip top cennection Dogo Janja amewataka mashabiki katika mitandaoya kijamii kuacha kumbeza Diamond kwa madai ya yeye kukosa tuzo, aliendelea akisema "Unajua watu walikuwa wanamatarajio makubwa sana na tuzo lakini mwisho...

Read more

SERIKALI YAENDELEA KUWA NA MSIMAMO WAKE JUU YA MAPENZI YA JINSIA MOJA YA MASHOGA NA WASAGAJI...

Akiongea mapema jana Mkuu wa wizara ya Katiba na Sheria Mhe. Amon Mpanju amesema mapenzi ya jinsia moja hayakubaliki na Serikali ilishaweka Msimamo wake katika hilo. aliyasema hayo katika mkutano wa wadau wa haki za binadamu uliofanyika katika hotel ya...

Read more

LULU MAHAKAMA INAMUITA KWA MAKOSA YA MTANDAO...

Mwigizaji wa filamu za Bongo muvi Lulu Michael yupo mbioni kupambana na mkono wa sheria kwa makosa ya kutoa lugha za matusi kwa mwandishi wa Habari wa Global Publishers baada ya kumuuliza swali lililotaka ufafanuzi wake ikiwa ni siku chache tangu alipofanya...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO JUNE 28,2016 KATIKA UDAKU NA HEADLY NEWS...

Ewe ndugu msomaji usichoke kuungana nami katika uchambuzi wa Magazeti yanayokujia kila siku kukuletea habari kutoka pande zote za Dunia .

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974