Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

VIDEO: SIMBA YAKUBALI KIPIGO CHA GORI 2 KUTOKA KWA KAGERA SUGAR. ANGALIA MATOKEO HAPA

Kama kawaida yangu kukusogezea zile habri za Michezo kutoka katika viwanja mbalimbali vya mpira na hii ni baada ya watani zao wa jadi Yanga kucheza jana April 1 2017 katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam na kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Azam FC,...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI EO APRIL 3, 2017 KATIKA UDAKU NA HARD NEWS....

Ni kawaida yangu ndugu yangu kukusogezea zile habari muhimu kutoka katika Magazeti ya Tanzania leo. Usisite kuungana na mimi kila dakika na kujua ni nini kinaendelea katika Ulimwengu.

Read more

VIDEO: LINAH AYAZUNGUMZA HAYA JUU YA UJAUZITO WAKE WA SASA....

Kama kawaida yangu mtu wangu kukusogezea zile habari muhimu zinazoendelea kutufikia katika Studio zetu za STARZTZ, leo nimekusogezea hii ya Linah Sanga mwanamuziki wa bongo fleva akizungumzia kuhusu mimba yake ya sasa. LML - Love Melodies and Lights ni...

Read more

LINAH AWEKA WAZI JUU YA MIMBA ALIZOKWISHO KUTOA, SOMA NA ACHA KOMENTI MTU WANGU...

March 31 2017 kupitia kipindi cha The weekend chat show Msanii wa Bongo fleva Linah Sanga amekiri alishawahi kutoa mimba takribani mbili kabla ya hii aliyonayo sasa hivi na anategemea kujifungua hivi karibu. Linah amesema anajutia hilo na sababu iliyompelekea...

Read more

HABARI MBAYA KWA MASHABIKI WOTE WA MAN U KUHUSU MCHEZAJI WA TIMU HIYO JUAN MATTA KUKOSA MECHI ZOTE ZA MSIMU HUU....

Kiungo wa kimataifa wa Hispania anayeichezea Man United ya England Juan Mata jina lake limerudi kwenye headlines baada ya kufanyiwa upasuaji wa groin, Mata ambaye mwanzoni mwa wiki hii alikuwa akilalamika mazoezini kuwa anasumbuliwa na groin amefanyiwa...

Read more

HIZI NDIZO SHERIA 6 ZA CHINA AMBAZO KUNA UWEZEKANO KWAMBA ZILIKILETWA TANZANIA WATU WANAWEZA KUAMA NCHI...

Tanzania ni moja kati ya nchi zenye amani na uhuru mkubwa kwa kuruhusu raia wake kufanya vitu vingi lakini leo March 31 2017 naomba nikusogezee sheria sita za nchi ya Korea Kaskazini ambapo kama zikiletwa Tanzania itakuwa ngumu watu kuzitekeleza kutokana...

Read more

PICHA: MHE NAPE NAUYE AKABIDHI OFISI KWA WAZIRI MPYA WA HABARI NA SANAA MHE MWAKYEMBE LEO..

Leo March 28, 2017 Aliyekuwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamadunu na michezo, Nape Nnauye leo amekabidhi ofisi kwa Waziri Mpya wa Wizara hiyo, Dk. Harrison Mwakyembe. Makabidhiano hayo yamefanyika katika ofisi za Wizara Dodoma

Read more

HIZI HAPA TIMU NANE ZILIZOFUZU KUCHEZA ROBO FAINALI YA UEFA EUROPA 2016/2017...

Hatimae michezo ya hatua ya 16 bora hatua ya marudiano ya UEFA Europa League imemalizika usiku wa March 16 2017 kwa michezo nane kuchezwa, tayari timu nane zimepatikana baada ya michezo ya marudiano. Kujua timu ipi itacheza na timu gani na kama itaanzia...

Read more

VIDEO MPYA: HARMONIZE KATULETEA HII VIDEO MPYA KARIBU TUICHEKI....

Ni kama kawaida yangu kukusogezea vile vitu vikali vinavyozidi kuushamili katika tasnia nzima ya Bongo fleva na baada ya hap sasa kwa wale wapenzi wa video kutoka Bongoflevani hii ni nyingine ambayo nisingependa ikupite ni kutoka WCB, Harmonize ameiachia...

Read more
<< < 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 20 30 40 50 60 70 80 90 100 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974