Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

NI NOMA PAPA FRANCIS WA KANISA LA KIKATORIKI AMFAGILIA MESSI...

Mtu wangu ata viongozi wa Dini wanaijua soka kwahiyo usishangae hii ya Papa Mkuu wa Kanisa la Kikatooriki Duniani Papa Francis kumfagilia Messi Mchezaji wa Timu ya Argentina na Barcelona.

Read more

UNDANI WA AFISA WA SERIKALI KUCHINJWA KIKATILI...

Ni habari ya kusikitisha afisa wa Serikali kuchinjwa kikatili, Majirani wasimulia maisha yake siku moja kabla ya kifo wabaki kuwashangaa watuhumiwa. Habari zaidi ni katika Gazeti la UWAZI.

Read more

MAASKOFU 9, MASHEHE5 MIKONONI MWA TAKUKURU...

Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imawalipoti Maaskofu 9, Mashehe 5 kuwa na makosa yafuatayo. 1. Makosa ya Mkanisa kuyapeleka Shuleni kwao. 2. Helkopta kuisajii kwa majina yao binafsi. 3. Viwanja vya Makanisa wajenga Hekaru zao wenyewe....

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO AUGUST 2,2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Leo naamk na hizi katika Magazeti ya Tanzania, usichoke kuendelea kuwa nami kila siku ili kupata habari mpyampya na kujua nini kinaendelea katika ulimwengu.

Read more

ARSENE WENGER MOYO WAKE MWENDO KASI UWOGA MPAKA POMONI...

Ni kocha wa timu ya Arsenal, Arsene Wenger, imedaiwa ameingia kiwewe na woga huku akisema Arsenal lazima wajipange ni habari iliyoandikwa katika Gazeti la BINGWA.

Read more

LULU AMWAGWA, HAWEZI TENA KUITA BABY, KIGOGO ASIMULIA MAZITO...

Mrembo na mwigizaji wa Bongo movie Lulu Michael yadaiwa na mbwembwe zake zote Bosi wa Radio ammwaga, apukutikaa kwa stress. Imesemekana kwamba eti amuomba radhi gitini. Ni habari tunayoipata katika Gazeti la IJUMAA.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO AUGUST 1, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Naendelea kukusogezea habari kuu zinazojili katika ulimwengu huu, usikose kuendelea kuwa namikila siku kwaajili ya kupata habari kuntu..

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO JULY 30, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Usichoke kuendelea kuwa nami kila siku ninapoendelea kukusogezea habari kubwa zinazojili katika ulimwengu wetu...

Read more

SKENDO 10 ZA NGONO ZA WANASOKA MAARUFU HIZI HAPA...

Hadhi ya Mchezo wa soka imekuwa kubwa, katika kipindi cha miaka kumi iliyopita wanasoka wanalipwa mamilioni ya dola kwa kucheza kwa dakika 90 tu. Lakini bado kuna mambo wengi yanatokea kila siku na hii ni kutokana na ukweli kwamba yanatokea kwasababu...

Read more
<< < 10 20 30 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974