Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

ZARI ATISHIA KUTOA MIMBA, KISA DIAMOND PLATNUMZ...

Ni august 5, 2016 katika habri zilizoshika headlines zetu leo ni pamoja na hii ya Zari a. k. a The boss lady aja na mpya leo, imedaiwa kwamba ametishia kutoa mimba eti kisa Diamond, Alikiba kuwa potezea, ni habari iliyoandikwa katika Gazeti la IJUMAA...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO AUGUST 5, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Mtu wangu mi najua nini unapenda na ndomaana naendelea kukusogezea zile habari muhimu kutoka katika pande zote za Dunia.

Read more

HII HAPA TAARIFA YA JB KUTANGAZA KUSTAAFU KUIGIZA GONGO MOVIE...

Msanii kutoka katika tasnia ya Bongo Movie Jacob Stephen alimaarufu kama JB, leo August 4, 2016 amechukua headlines katika mtandao wake wa Instagram baada ya kutangaza kuelekea ukingoni katika tasnia ya uigizaji wa Filamu nakujikita kusaidia vijana kwenye...

Read more

AUDIO:LINA AJA NA NGOMA YAKE HII MPYA 'RAHA JIPE MWENYEWE'...

Ni msanii wa bongo fleva Lina Sanga leo anayofuraha kutuletea hii single yake mpya iitwayo "Raha Jipe mwenyewe" Ni ngoma iliyotayarishwa katika studio ya Mr. Touch.

Read more

VYUO 175 HATARINI KUFUTWA NA - NACTE, IKIWA TAYARI 5 VIMESHAFUTWA...

Habari nyingine iliyoshika headlines zetu leo ni kwamba Vyuo 175 hatarini kufutwa na -NACTE, tayari 5 vyafutwa, 41 vyapewa notisi yakujisajili upya.

Read more

MAZITO YAENDELEA KUMPATA MENEJA WA DIAMOND...

Meneja wa Staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, Babu Tale katika habari tulizonazo leo zinasema 'ahenyeshwa na hukumu' ambavyo hii ni habari tunayoipata katika Gazeti la AMANI. Pata nakala yako sasa uweze kujua nini kinaendelea juu yake.

Read more

RAY C FULL KICHEKO AFUNGUKA MAZITO BAADA YA KUANZA...

Mwana mziki wa Bongo fleva Ray C leo haja na hii mpya akionyesha kuangua kicheko ile mbaya ikisemekana ni baada ya kuanza Tiba Sobber House, kama tunavojua kwamba Sobber House nikulee alikokuwa Chid Benzi akipata matibabu ya matumizi ya madawa ya kulevya,...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO AUGUST 4, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Usiache kuendelea kuwa nami ndungu msomaji kila siku ninapokuletea habari kuu zinazojili katika ulimwengu wetu leo.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO AUGUST 3, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Mtu wangu usichoke kuendelea kuwa nami kila siku kwaajili ya kupata habari motomoto kutoka katika pande zote za Dunia.

Read more
<< < 10 20 30 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974