Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

DIAMOND PLATNUMZ ASHANGAZA WENGI KUKILI KUPENDA BIFU...

Msanii diamond Platnumz amewaacha watu wengi midomo wazi baada ya kauli yake ya yake ya kwamba bifu kwenye muziki ni kitu cha msingi kwani inasaidia kuinua viwango vyao kimziki.

Read more

"GUSA UPOTEE" HABARI MPYA NIMEWASOGEZEA KALIBU HAPA...

Ni habari inayosisimua kweli kutoka kwa dada zetu Mastaa warembo wa bongo.Katika Gazeti la RISASI leo limetuandikia habari inayowahusu wasanii mastaa wa jinsia ya kike inayosema "Gusa upotee" ukiduu na Mastaa hawa jiandae kushika jembe.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO AUGUST 10, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Mtu wangu endelea kuwa nami kila siku kwaajili ya kupata zile habari kuu zinazojili katika Magazeti ya Tanzania kila siku asubuhi.

Read more

MSHINDI WA BSS MWAKA JANA 2015 KAYUMBA AELEZA HAYA JUU MATUMIZI YA HELA YAKE...

Ni msanii kutoka katika Zao la Bongo Star Search 2015, Kayumba Juma amefunguka kueleza namna milioni 50 alizoshinda kwenye Shindano la Bongo Star Search zilivyotumika. Msanii huyo amefunguka haya na kusema "Kiasi nilichokichukua kilikuwa ni milioni 50...

Read more

GIGY MONEY AFUNGUKA MAZITO, ASEMA ATA BABY WA...

Ni August 9, 2016 Mrembo Gigy Money akiwa katika Clouds TV chini ya mtangazaji Zamaladi Mketema, Gigy money amesema hili "Ata Harmonize nilitaka kulala nae sema kwa bahati mbaya nilikuwa kwenye siku zangu"Gigy Money, lakini ameendelea kwa kusema kati...

Read more

KUFURU!!! WATU 500 WAALIKWA BAJETI YA SH. MILLION 300...

Ni noooma sana mambo hayo, inamaana hawa ukiwahoji kuhusu ile kauli ya Mhe. Rais Magufuli ya kubana matumizi watakuwa na maoni gani?? swali tunabaki nalo sisi na majibu wanayo wao!! hii habari inasema "Watu 500 waalikwa Bajeti ya Mil 300 watu kula, kunywa...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO AUGUST 9, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Kalibu ndugu msomaji w makala zangu nikuleteazo kila siku, usikose kuwa nami kila siku kwaajili ya kupata habari kemkem kutoka hapa STARZTZ zinazotokea katika ulimwengu mzima.

Read more

VIDEO MPYA: BELLE 9, GENTRIEZ NA YOUNG DEE WAMETULETEA NGOMA HII...

Ikiwa leo ni August 8, 2016 tumekuja na good News kutoka Bngo fleva ikiwa Mkali Belle 9, Gentriez na Young Dee wanatualika kwa pamoja kuangalia na kusikiliza Ngoma yao hii mpya inayoenda kwa jina la "Chapaa" ya kwake Gentriez.

Read more

HABARI NJEMA KWA MANCHESTER UNITED, JIANDAENI KUMPOKEA POGBA...

Headlines za kiungo wa Kimataifa wa Ufaransa aliyekuwa anaichezea Klabu ya Juventus ya Italia Paul Pogba kuhusishwa kujiunga na Man United, zinaelekea kumalizika kwa kiungo huyo kurudi Man united toka aondoke mwaka 2012.

Read more

PICHA & VIDEO MANCHESTER UNITED WAANZA KWA KUNG'ARA...

Ni August 7, 2016 katika Mchezo wa Ngao ya Jamii, ikiwa ni kawaida kabla ya Ligi kuu England kuanza huwa unaanza mchezo wa Nga ya Jamii, mchezo ambao huzikutanisha timu bingwa wa ligi kuu na Bingwa wa Kombe la FA, August 7, 2016 katika uwanja wa Wembley...

Read more
<< < 10 20 30 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974