Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

BI HARUSI ATEKWA IKIWA NI SAA CHACHE BAADA YA KUFANYIWA...

Ni Bi harusi akiwa ametoka kufanyiwa Kitchen Part, inasadikika kuwa ni mchepuko wake wa zamani, Send Off yafanyika viti vitupu, ndugu kuangua vilio!!

Read more

GOOD NEWS: HII NI KUTOKA KWA IRENE UWOYA, TUMIA PESA...

Ni mwigizaji wa Bongo Movie Irene uwoya, katika habari nilizokusogezea leo ni pamoja na hii ya huyu mwigizaji wa Bongo Movie, inaonekana ameenda Morogoro kujiachia na Rado.

Read more

BEAKING NEWS: HII NI KUTOKA KATIKA TASNIA YA BONGO MOVIE...

Staa wa Bongo Movie Jackline Wollper, leo kaja na hii mpya . Kaamua kuyapiga Bei magari yake na kuja na uamuzi mpya ambao ni kwamba aamua kujikita katika Biashara.

Read more

RAIS JOHN MAGUFULI: KASI YANGU NI HATARI, AYASEMA HAYA...

Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amesema anapoamua kunyoosha ni hapo hapo bila kujali kigogo aliyepo, akiendelea kusisitiza kuwa atasimama kwa niaba ya Maskini, Matajiri walipe kodi.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO AUGUST 13, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Leo naendelea kukusogezea habari kuu zilizojili katika Magazeti ya Tanzania leo. Usikose kuendelea kuwa nami kila siku kwaajili ya kupata habari Kem kem kutoka pende zote za Dunia.

Read more

MAPENZI NOMA LEO NA SNURA NAE KADAI ANATESWA...

Katika habari tulizonazo leo ni pamoja na hii ya Snura kudai kuteswa na mapenzi, huku akieleza kuwa huwa anatokewa na Staa mkubwa wa Bongo fleva.

Read more

WEMA AANZA KUUMBUKA, PICHA YAKE YA MWAKA 2007...

Staa wa Bongo movie Wema Sepetu leo kaonekana katika Headlines zetu akija na habari mpya inavyoonekana yale mapicha picha yake ya mwaka 2007 yameanza kuleta kizaazaa ni habari inayosisimua ikisemekana picha hiyo ya 2007 yafichua siri Nzito ikionyesha...

Read more

MAPYA YAIBUKA, VIDEO YA NGONO YA JACKLINE WOLPER MIL. 100...

Staa wa Bongo movie Jackline Wolper ambaye sasa ni mpenzi wake Staa wa Bongo fleva Harmonize anayetamba na kibao cha "Matatizo" leo amekuja na habari hizi mpya zinazomuonyesha yeye kuanza kujihusisha na kurekodi video za Ngono na moja ikienda kwa gharama...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO AUGUST 12, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Mtuwangu usichoke kuendelea kuwa nami kila siku kwaaajili ya kupata habari motomoto kutoka katika pande zote za Dunia.

Read more

NA HIVI NDIVYO ALIVYOHUTUBIA LEO MHE. RAIS MKOANI MWANZA...

Mhe. Rais wa Jamhuli ya Muungano wa Tanzania akiendelea na ziala yake Mikoani, na leo ilikuwa ni zamu ya wakazi wa Sengerema Mkoani Mwanza akitokea Chato Mkoani Geita.

Read more
<< < 10 20 30 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974