Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

JESHI LA POLISI LATANGAZA KUMAFUT MASANJA MKANDAMIZAJI...

Ni August 17, 2o16 Jeshi la Polisi kanda maalumu ya Dar es salaam imewahoji wasanii wa Orijino Komedi akiwemo meneja wao Seki kwa tuhuma za kuvaa sare za Polisi kwenye harusi ya msanii Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja Mkandamizaji. Jeshi la Polisi...

Read more

UKWELI HUU HAPA KATI YA DIAMOND NA AIKIBA, ALIKIBA BILIONEA...

Kumbe mbwembwe tu Alikiba anamzidi Diamond Noti au utajili, Alikiba ameonyesha jeuri ya Pesa GSM baada ya kuagiza gari ya Milioni 700. Kumbe diamond bila Zari hamna kitu!!!

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO AUGUST 18, 2016 AKTIKA UDAKU NA HARD NEWS...

Ndugu msmaji endelea kuwa nami kila iku kwajili ya kupata habari kuu zinazoendelea kujili katika ulimwengu wetu..

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO AUGUST 16, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Mtu wangu ikiwa nikila siku nakusogezea zile habari kuu zilizojili katka ulimwengu wetu huu.

Read more

MZEE ABOUD JUMBE MWINYI AFARIKI DUNIA HUKO ZANZIBAR...

Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (1972- 1984), Mzee Aboud Jumbe Mwinyi amefariki dunia jana mchana nyumbani kwakemji mwema Kigamboni jijini Dar es salaam na anatarajiwa kuzikwa kesho Zanzibar. Imeelezwa kuwa kutokana...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO AUGUST 15, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Mtu wangu kama kawaida yangu naendelea kukusogezea habari kuu zilizojli katika Ulimwengu wetu huu kupitia Magazeti yetu ya Tanzania.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO AUGUST 14, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Leo naendelea kukusogezea habari kuu zilizojili katika Ulimwengu, huu kupitia magazeti yetu ya Tanzania, endelea kuwa nami ila siku kwaajili ya kuendelea kujua nini kinaendelea kujili.

Read more

VIDEO:JK COMEDIAN ALIVYOWAVUNJA WATU MBAVU KWA KUIGA SAUTI YA RAIS MAGUFULI NA KIKWETE...

Mtu wangu nimekusogezea video hii hapa ikimuonyesha Msanii JK comedian akizidi kuonyesha ubora wake katika kuigiza sauti za watu Mashuhuri kwa Style ya kuchekesha na kufurahisha. Kipindi hiki kaisogeza kwa Waziri Kassim Majaliwa, Waziri Harrison Mwakyembe...

Read more

VIDEO MPYA: DIAMOND PLATNUMZ AKIWA NA MZIMBABWE "WATORA MARI"...

Tanzania ikiwa inazidi kupamba moto kupitia tasnia ya Muziki wa bongo fleva, leo nimekusogezea video hii hapa Staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz akiwa ameshirikishwa na Msanii kutoka Zimbabwe chini ya Producer Laizer kutoka WCB, Ngoma inayoitwa "Watora...

Read more
<< < 10 20 30 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974