Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

HAINAGA USHEMEJI, JAMAA APATA KIPIGO CHA MBWA MWIZI...

Jamaa huyu amejikuta akiambulia kipigo kizito kutoka kwa mke wake baada ya kumfuma anajisevia na mwanamke mwingine, hii ni baada ya mwanamke kupata dharula na kwenda hofisini kwa mmewe na kukuta hayupo, akaamua kurudi nyumbani na kukuta anajisevia na...

Read more

LEO NIMEKUJA NA HIZI MPYA KUHUSU MASTAA WA BONGO...

Katika la wikiendi leo nimezikuletea hizi mpya leo, imegundulika kwamba Mastaa wengi wa Bongo wanajiuza Sauz, inasemekana imekuwa hivi baada ya Soko la China na India kudorora, wakaona wale wao na wakaijikuta mchezo wao mzima umeanikwa juani!!

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO AUGUST 22, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Ni kawaida yangu mpenzi msoamaji wa makala zangu, mi najua nini unapenda na ndomaana naendelea kukusogezea habari kuu na nyingine kemkem zinazojili hapa Ulimwenguni.

Read more

MKE WA MASANJA MKANDAMIZAJI ALETA KIZAZAA...

Huyu ni mke wa mwigizaji wa Original Comedy, ikiwa ni baada ya kufunga Ndoa na mumewe Masanja Mkandamizaji. Wawili hao wameonekana kwenye picha mbalimbali huku mavazi yao yakiwaacha watu wengi wakiwa na maswali yaliyokosa majibu kutokana na picha anazovaa...

Read more

MFANYA BIASHARA MMOJA MOSHI AJIPIKA KWA PETROLI...

Ni mkazi wa Moshi anayejulikana kwa jina la Romani shirima mwenye umri wa miaka (74), kwa mijibu wa taarifa kutoka kwa mashahidi zinasema kwamba mfanya bihashara huyo alijifunika Blanketi, na kisha kujimwagia Petroli na kutumi kiberiti kuwasha moto ambao...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO AUGUST 21, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Ndugu mpenzi msomaji wa makala zangu kalibu tena uungane nami kwaajili ya kupata habari kuu zinazoendelea kujili katika ulimwengu wetu huu.

Read more

ALIYEMHARIBU RAY C ANENA MAZITO! ATOA OMBI KWA WATANZANIA...

Ni baada ya kuwa shavu Dodo, akiongea na STARZTZ ametweleza kuwa "Unajua tunapotoka kunywa dawa tunakutana na mazingira magumu sana, tulikuwa tukitoka pale tunapata tena uhawishi wa kutumia... " baada ya kueleza alivyomlejesha kwenye madawa ya kulevya...

Read more

LINA AZUA KASHESHE, IMEFICHUKA LINAH KUMNASA...

Ni msanii wa bongo fleva alimaarufu kama Linah, leo amefunguka mazito na STARZTZ akiyafichua yaliyofichika kwa muda mrefu, aeleza kwamba alimnasa Mume wa Zari a . k .a Mama Tiffah akidai kuwa walikutana Sauz.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO AUGUST 20, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Mtu wangu naendelea kukusogezea habari kuu zilizojili katika Ulimwengu wetu huu katika siku ya leo. Usisite kuendelea kuwa nami kila siku kwaajili ya kupata vitu motomoto.

Read more

HIKI HAPA KIFAA KINAKUONYESHA WAPI ULIPOSAHAU KIFAA CHAKO, GARI, WALLET N.K...

Kama ninavozidi kukwambia mtu wangu kwamba kila siku Teknolojia inazidi kukua. Sasa leo9 tumekuja na hii mpya, ambapo hiki kifaa kinakuonesha ni wapi ulipoacha gari lako, Pikipiki, Wallet, Baiskeli na vingine vingi. Haya unapasa kufanya yafuatayo, Daowload...

Read more
<< < 10 20 30 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974