Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

MAGAZETI YA TANZANIA LEO SEPTEMBER 3, 2016 YAMEAMKA NA HIZI KATIKA UDAKU NA HARD NEWS...

Mtu wangu usikae mbali na mimi nikiwa naendelea kukusogezea zile habari kuu zinazojili katika Ulimwengu wetu huu.

Read more

LAANA YA KISINGELI YABAINIKA, INASEMEKANA SINGELI INA...

Kama unavyoona pichani watu wakijitoa ufahamu sababu ya mziki kuwakolea, mziki huu maarufu kwa jina la Singeli imebainika kuwa ni mziki wa Maruhani, mashetani hupanda na kushawishi kufanya Ngono.!

Read more

ALIYEMCHORA MKE WA WAZIRI TATUU KIUNONI AWA MATATANI...

Ni kiwa katika pitapita zangu hapa na pale mtaani nimekutana na hii habari ya kustaajabisha kabisa mke wa Waziri kuchora tatuu, inasemekana kwamba Mwanamke hakumwambia mumewe kama anakwenda kuchora huku akidai yeye alishawishiwa na shoga zake, mchoraji...

Read more

MCHUNGAJI AFUMANIWA AKIMTAFUNA MKE WA MUUMINI WAKE...

Hii ni baada ya Ibada kunoga na kujikuta wote wawili wakisakana na kupeana maswala bila kujali nani ni nani. N a hii imeonekana kutokea mala kwa mala katika makanisa mengi hasahasa yanayoibuka siku za usoni.

Read more

UWOYA NA MASOGANGE WAZUA KIZAAZAA KANISANI, HII HAPA...

Mrembo maarufu wa bongo movie Irene Uwoya akiwa na mwenzie wa bongo fleva Masogange wazua kizaazaa kanisani baada ya kudai wanataka kuokoko huku wakiwa wamevaa nguo za ajabu.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA LEO SEPTEMBER 2, 2016 YAMEAMKA NA HIZI...

Mtu wangu wa nguvu endelea kuungana nami kila siku kwaajili ya kupata habari mbalimbali kutoka pande zote za Dunia.

Read more

CHADEMA WAKUBALI YAISHE, WASITISHA MAANDAMANO YA UKUTA...

Ni August 31, 2016 Chama cha Dekrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia kwa Mwenyekiti wao mkuu wa chama Freeman Mbowe, wameeutangazia ummana wafuasi wake wote kwamba baada ya kusikiliza ushauri viongozi wa Dini na watu wengine wameamua kusitisha maandamano...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA LEO SEPTEMBER 1, 2016 YAMEAMKA NA HIZI...

Usikose kuendelea kuwa nami mtu wangu nikiwa naendelea kukusogezea habari kuu zinazojili kote ulimwenguni kupitia Magazeti yetu ya Tanzania leo.

Read more

MREMBO APEWA PESA AZIWEKA KWENYE MATITI, ZAGEUKA KUWA NYOKA...

Katika habari nilizonazo leo ni pamoja na hii ya huyu binti aliyeshadadia lifti na kukutwa na haya makuu, kwa mujibu wa Taarifa nilizonazo ni kwamba alipewa pesa na akaziweka kwenye Matiti, mala akashangaa kitu kinamtembelea kumbe zimegeuka kuwa Nyoka,...

Read more

BONGO YAANDIKA HISTORIA, JUU YA SERIKALI KUAMIA DODOMA...

Ikiwa ni wiki kadhaa zimepita tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe John Pombe Magufuli atoe kauli ya kuamishia Serikali yake yote kutoka Jijini Dar es salaam na kuamia Mjini Dodoma, sasa Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa yeye baada ya tamko...

Read more
<< < 10 20 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974