Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

WEMA SEPETU AFUNGUKA MAZITO JUU YA BABA AKE DIAMOND...

Staa wa Bongo movie Wema Sepetu leo kaonekana kwenye headlines zetu akija na hii habari kuhusu baba ake na staa wa bongo freva Diamond Platnumz akisema, "Nitalipa pesa za matibabu ya Baba diamond".

Read more

HAYA NDIYO MASWALI 10 YA KUNASWA KWA SIRAHA NZITO DAR...

Katika pitapita zangu leo nimekutana na hii habari nzito inayohusu kukamatwa kwa siraha nzito Dar es Salaam, kati ya siraha zilizokamatwa ni pamoja na Kiroba cha risasi, bunduki, pingu, mabomu na pia vipo vifaa vya kijeshi.

Read more

MACHANGUDOA DAR ES SALAAM HATARI TUPU, ISOME HABARI KAMILI HAPA...

Mtu wangu katika habri nilizonazo hapa ni pamoja na hii ya hawa, akina dada wawanao julikana kwa jina Maarufu kama Machangudoa, leo wamekuja na hii mpya,kwani inasemekana kwamba ukijichanganya tu, unalizwa mpaka 'Power Bank', huku ikisemekana kwamba wanaunda...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA LEO SEPTEMBER 6, 2016 YAMEAMKA NA HIZI KATIKA UDAKU NA HARD NEWS...

Mtu wangu usisite kuendelea kuwa nami kwaajili ya kupata zile habari kuu zinazoendelea kujili katika Ulimwengu wetu huu.

Read more

HIZI HAPA HABARI MOTO MOTO KUHUSU MASOGANGE WA KENYA......

Chekizia warembo hao na huyu ndie mrembo anayesemekana kuwa ndiye Masogange wa Kenye. Tupia comment hapo mtu wangu ili akipita ajue maoni yako kwa hizi picha zake.

Read more

"SITAVUMILIA CHOKOCHOKO" RAIS JOHN MAGUFULI...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe John Pombe Magufuli amesisitiza kwa kuahidi kwamba atalinda Amani na kuimalisha Muungano, huku kisema amekerwa na Maalim Seif kukataa Mkono wa Shein, huku Shein akisema hakuna tena Serikali ya Mpito.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA LEO YAMEAMKA NA HISEPTEMBER 4, 2016 KATIKA UDAKU NA DARD NEWS...

Mtu wangu usikae mbali nami, endelea kuwa kalibu nami kwaajili ya kupata habari moto moto kutoka katika pande zote za Dunia.

Read more

AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUMUITA RAIS MAGUFULI KILAZA...

Ni mkazi wa Dar es salaam Elizabeth Asenga mwenye umri wa miaka 40, amefikishwa katika Mahakama ya Mkazi Kisutu kwa Tuhuma za kuandika maneno ya kumkashifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais John Pombe Magufulikupitia mtandao wa kijamii wa What's...

Read more

MPYA!! KIJANA WA MIAKA 19 ATOLEWA MACHO KISA USHIRIKINA...

Hii imetokea huko Nigeria ambapo kijana mwenye umri wa miaka 19 wa Jimbo la Kaskazini Magharibi mwa Nigeria la Bauchi anasema kuwa macho yake yalitolewa na watu waliotaka kuyatumia kwaajili ya sababu za ushirikina.Polisi wamesema wanachunguza kisa hicho,...

Read more

DARAJA LA KIOO CHINA LASITISHWA KWAMUDA WA SIKU 13...

Daraja la kioo kuwa juu zaidi lilizinduliwa hivi kalibuni Nchini China ambapo lina urefu wa zaidi ya futi 1400, upana wa futi 20 na karibu futi 1000kutoka kwenye ardhi na umelipotiwa kuwa kioo chake ni imara zaidi ya mala 25 zaidi ya kioo cha dirisha,...

Read more
<< < 10 20 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974