Naendelea kuzulula mtaani, nakutana na hii ya Baby Madaha, akionekana kuchepuka na mme wa Wema Sepetu, Wadaiwa kulala pamoja Uganda bifu zito la fufuka, Baby Madaha abanwa, aeleza moyoni mwake.
Leo katika habari nilizonazo ni pamoja na Staa Zari a. k . a The Boss Lady leo amekuja na hii mpya baada ya kugombea mwanaume mwingine huku akidai ana mimba ya pili ya Diamond kitendo kilichozaa taharuki ya kuwa Tiffah si wa Diamond.
Hii imetokea huko Mwanza baada ya mwanafunzi kutumwa mzazi na kuleta mama wa kukodi, mama anaulizwa maswali kuhusu mwanae hana analoelewa ata moja, ndipo walipoamua kutafuta namba za mzazi wa kweli kwenye vitabu vya shule vyenye namba za wazazi, wakampata...
Staa wa Bongo movie Irene Uwoya leo kaja na hizi habari kuu katika Studio zetu baada ya kufanya mahojiano na Starztz na kujikuta akisema "Niachie Chidi Benz wangu"
Hii ni baada ya siku chache kupita nilipokusogezea ile video mpya ya Dully Sykes iitwayo "Inde " aliyomshirikisha Harmonize sasa na hii ni ileeeee wakati wa maandalizi ya video hiyo.
Ni mwigizaji maarufu kutoka katika tasnia ya filamu za kibongo, bongo movies Shamsa Ford, leo ameonekana katika headlines zetu leo baada ya kutolewa Bastola na baba mtoto wake tukio lililoacha maswali mengi.!
Mmiliki wa kibado cha Bado kutoka katika kundi la WCB Harmonize linalomilikiwa na Diamond Platnumz leo amekuja na hii mpya kuhusu baby wake Jackline Wollper akisema "siku zinavyozidi kwenda binadamu anapata mawazo mapya pamoja na kukua lakini pia nafikiri...