Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

MAGAZETI YA TANZANIA LEO SEPTEMBER 12, 2016 YAMEAMKA NA HIZI KATIKA UDAKU NA HARD NEWS...

Mtu wangu usikae mbali nami nikiwa naendelea kukusogezea zile habari kuu zinazoendelea kujili katika Ulimwengu.

Read more

VIDEO: HAYA NDIYO MAGORI YA MAN CITY Vs MAN UNITED...

September 10, 2016 imechezwa Mechi kali iliyo zihusisha timu kali za Barani Ulaya katika Uwanja wa Old Trafford huku kivutio kikubwa kikiwa ni kocha mwenye maneno mengi Jose Mourinho. Mchezo huo uliisha kwa Wale wa Timu Man United akiambulia kipigo cha...

Read more

AUDIO: NI TARIFA KUTOKA BUKOBA KUHUSU JANGA LA TETEMEKO LA ARDHI...

Ikiwa ni September 10, 2016 katika eneo la kanda ya Ziwa kutokea tetemeko la Ardhi na kusababisha vifo vya watu wengi na wengine wakibaki wakiwa Majeruhi, uharibifu wa Mali nyumba kubomoka na mengine mengi. Ebu tuwasikilize wenzetu kutoka Bukoba wana...

Read more

PICHA:TETEMEKO LA ARDHI LA LETA MAAFA MKOANI KAGERA, WENGI WAFA...

September 10, 2o16 limetoakea Tetemeko la ardhi na kuacha vifo zaidi ya 20 huku zaidi ya 162 kubaki wakiwa majeruhi, na huku wengi wakibaki bila makazi Mkoani Kagera. Inasadikika Nyumba za watu wengi zimebomoka na kuacha wengi wakilia wakkiwa hawana pa...

Read more

KIMENUKA!! ZARI ARUSHIANA MANENO NA DADA WA DIAMOND...

Hii ni kati ya habari nilizonazo leo, Mama Tiffah a .k .a Zari the Boss Lady leo amekinukisha na Wifi yake dada wa Diamond mmewe ikisemekana chanzo ni kumkuwadia kaka yake kwa mabinti.

Read more

MAAJABU! HAKKA KA MJAMAA KANAONGEA KAMA BINADAMU...

Ni katika pitapita zangu mtaani, nimekutana na mkusanyiko wa watu bila kujua walikuwa wakishangaa nini, ile nafikatu nakaona haka kamsela, Pwaaaah!!! nikayamwaga, kanatiririka kama Binadamu.

Read more

GIGY MONEY YAMKUTA HAYA MAKUU, AFUMANIWA NA KUPEWA KIPIGO...

Katika habari zilizoshika Headlines zetu leo ni pamoja na hii ya mrembo mwenye vituko alimaarufu kama Gigy Money, ni habari inayosema Gigy money adundwa baada ya kufumaniwa na mume wa mtu.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA LEO SEPTEMBER 10, 2016 YAMEAMKA NA HIZI KATIKA UDAKU NA HARD NEWS...

Usikae mbali nami ndugu msomaji, wa makala zangu, endelea kuwa nami ili uzidi kuzipata zile habari muhimu zinazoendelea kujili katika Ulimwengu huu.

Read more

VIDEO: MAMA WEMA AELEZA BIFU YAKE NA MAN FONGO KISA...

Ni mama ake Staa wa Bongo movie Wema Sepetu mama ake leo ameonekana kwenye headlines zetu leo akieleza kisa cha kumchukia Man Fongo. Mama Wema amesema "Kwanza kama utakuwa umesoma sms yangu niliyomtumia nilimwambia kwamba Amani nakueshimu sana hasa baba...

Read more
<< < 10 20 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974