Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

VIDEO: SHILOLE AMUULIZA YOUNG KILLER KAMA ANATUMIA MKOROGO?...

Ni wakati wakiwa kwenye basi katika zoezi zima la Fiesta 2016, wasanii hawa walianza kwa ucheche mwingi na mwishowe Shilole akaamua kumwaga swali kwa Young Killer kama anatumia mkorogo na hichi ndicho alichojibu Rapper huyo, hii hapa video nimekusogezea...

Read more

MWANAFUNNZI AMWAMBIA MWALIMU WAKE 'UNASTAHILI KUFA'...

Watokea mkasa mzito wa kushangaza, huyu ni mwanafunzi yamemtokea haya makuu, nibaada ya kutoa penzi kwa kuahidiwa kupatiwa alama 'A' na baada ya matokeo kutoka ana 'F' Mwalimu afunguka.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA LEO SEPTEMBER 14, 2016 YAMEAMKA NA HIZI KATIKA UDAKU NA HARD NEWS...

Mtu wangu najua nini unapenda na naendeea kukusogezea zile habari muhimu zinazoendelea kujili katika pande zote za Dunia.

Read more

LULU LEO AJA NA HII MPYA, AJIVIKA MABOMU NA KUWAACHA WENGI MIDOMO WAZI...

Staa wa Bongo movie Lulu Michael leo katika habari nilizonazo ameingia kwenye headlines zetu baada ya kufanya hili huko Kenya "Nilimpoteza Dar. na sasa nimekamilisha hapa Mombasa.... sasa naomba niandaliwe shoo mimi na yeye kule ukweni kwake (Uganda)...

Read more

VIDEO:SALUTE KING!! ALIKIBA AMFUNIKA DIAMOND KENYA...

Waswahili usema mafahari wawili hawakai zizi moja, na leo wakakutana tena huko Kenya, Ni Staa wa bongo fleva Diamond Platnumz na King Alikiba.Hii nikatika Fiesta iliyofanyika huko Kenya ikiwa ni kwa mala ya kwanza tangu Fiesta imeanza na kuwakutanisha...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA LEO SEPTEMBER 13, 2016 YAMEAMKA NA HIZI KATIKA UDAKU NA HARD NEWS...

Naendelea kukusogezea zile habari kuu zinazoendelea kutokea katika Ulimwengu wetu huu, usisite uwa nami ila siku kwaajili ya kupata kila kinachoendelea.

Read more

SHILOLE NA NUH MZIWANDA WAPEANA VIJEMBE BAADA YA KUKUTANA...

Shilole na Nuh Mziwanda walikutana kwenye basi walipokuwa wanaenda Fiesta, wasanii hawa wamekuwa na bifu na walichuniana walipokutanishwa kwenye kipindi cha TV Clouds na wamekuwa wakipigana majungu mitandaoni.

Read more

VIDEO:TETEMEKO LA ARDHI LATOKEA TENA USIKU WA KUAMKIA LEO, FAMILIA ZALALA NJE...

September 11, 2016 katika mji wa Bukoba familia za watu wengi zimekutwa nje kufuatia na tetemeko la Ardhi kutokea tena. Tusikilize hapa.

Read more

VIFO VYAZIDI KUONGEZEKA, HOFU YATANDA WATU KUBAKI BILA MAKAZI...

Hii ni kufuatia tukio la tetemeko la Ardhi lililotokea September 10, 2016 katika Maeneo ya kanda ya Ziwa, kwa mujibu wa taarifa nilizonazo ni kwamba idadi ya vifo yazidi kushamili ikiwa mpaka sasa watu 16 wamefariki, 253 wamejeruhiwa na Nyumba 840 zaanguka...

Read more

MIILI YA WALIOPOTEZA MAISHA WAKATI WA JANGA LA TETEMEKO LA ARDHI YAAGWA...

September 10, 2016 lilitokea tetemeko la Ardhi katika maeneo ya kanda ya Ziwa na eneo la Mkoa wa Kagera kuonekana kuathiriwa sana na janga hilo. Jana September 11, 2016 katika Uwanja wa Mpira wa Kaitaba mjini Bukoba Mhe. Kassim Majaliwa ameungana na waombolezaji...

Read more

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974