Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

MADAI YA KUMPA PENZI MKUU WA MKOA, ASEMWA MAZITO SOMA HAPA...

Leo katika habari zilizoshika headlines zetu leo ni pamoja na hii ya Mbunge Cathy Magige akifunguka mazito juu ya skendo ya madai ya kumpa penzi mkuu wa Mkoa huku ikisemakana kwamba kwamba skendo ilianzia Marekani.

Read more

ZARI ANYOSHA MIKONO KWA DIAMOND, HII NI BAADA YA KUTAMBUA...

Staa Zari ali maarufu kama mama Tiffah Dangote, mke wa Staa kutoka katika tasnia ya bongo fleva Diamond Platnumz, leo ameonekana katika Headlines zetu kwa habari inayosema, Zari anyosha mikono kwa Diamond, hii ni baada ya kuitambua rasmi michepuko yake...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA LEO SEPTEMBER 17, 2016 YAMEAMKA NA HIZI KATIKA UDAKU NA HARD NEWS...

Kalibu uendelee kuwa nami mtu wangu kwaajili ya kuzijua habari zinazoendelea kujili katika pande zote za Dunia.

Read more

FIESTA YARUDISHA PENZI LA SHILOLE NA NUH MZIWANDA...

Ze vijimambo limeamka na hizi leo. Ni mwana dada kutoka katika tasnia ya bongo fleva Shilole na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani nuh Mziwanda, katika habari zilizoshika headlines zetu leo ni pamoja na hii ya Shilole kumpost Nuh Mziwanda na kuandika maneno...

Read more

FUNDI WA MATUSI MITANDAO AONYWA HUKU WENZIE WAKIWA KIZIMBANI...

Mtu wangu kama kawaida yangu nakusogezea zila habari ninazokutana nazo nikiwa katika kuzulula, leo nimekutana na hii ya wale akina dada zetu wanaopenda matusi mitandaoni na huyu simwingine ni mwana dada Mange Kimambi, huku wenzake wakipandishwa kizim...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA LEO SEPTEMBER 16, 2016 YAMEAMKA NA HIZI KATIKA UDAKU NA HARD NEWS...

Mtu wangu naendelea kukusogezea zile habari kuu zinazoendelea kujili katika Ulimwengu wetu huu, usikose kuungana nami kila siku kwaajili ya kupata habari kila siku.

Read more

CHRISTIAN RONALDO AWEKA REKODI ZA UEFA KWA GOLI ALILOIFUNGA SPORTING...

Hii ni baada ya michezo nane kuchezwa usiku wa Septemba13, 2016 Jumanne ya Septemba 14 ya hatua makundi ya michuano ya Klabu Bingwa barani Ulaya iliyochezwa barani Ulaya, Miongoni mwa michezo iliyochezwa ni pamoja na huu wa Real Madrid dhidi Sporting...

Read more

MATOKEO YA MECHI ZA UEFA ZILIZOCHEZWA SEPTEMBA 14, 2016...

Mtu wangu kama kawaida yangu kukusogezea zile habari muhimu na za ukweli kutoka katika pande zote za Dunia. Endelea kuwa nami kila siku na kila saa.

Read more

VITA YA MAPENZI YAANZA, GIGY MONEY NA LINAH SANGA BIFU ZITO...

Warembo hawa maarufu akiwa ni Staa kutoka Bongo fleva na Gigy money mrembo mwenye vituko. Warembo hawa wameonekana kwenye headlines zetu leo ikiwa ni tetesi zinazosema wawili hao wameingia kwenye bifu zito huku chanzo kikisemwa kuwa ni kuchukuliana m...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA LEO SEPTEMBER 15, 2016 YAMEAMKA NA HIZI KATIKA UDAKU NA HARD NEWS...

Naendelea kukusogezea zile habari zinazoendelea kujili katika Pande zote kuu za Dunia, usichoke kuwa nami mtu wangu kaa kalibu.

Read more
<< < 10 20 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974