Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

VIDEO MPYA: NI NGOMA YA DIAMOND NA RAYVANNY "SALOME"...

Huyu ni staa wa bongo fleva kutoka katika Rebo ya WCB Diamond Platnums akiwa na Raymond juzi September 18, 2016 wameingia kwenye headlines zetu baada ya kuja na hii ngoma yao mpya iitwayo 'Salome'

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA LEO SEPTEMBER 20, 2016 YAMEAMKA NA HIZI KATIKA UDAKU NA HARD NEWS...

Naendelea kukusogezea zile habari muhimu kutoka pande zote za Dunia , usikae mbali nami mtu wangu katika ulimwengu huu wa Digitali.

Read more

HII NI REKODI MPYA TENA ALOIWEKA DJ KHALED NA DRAKE...

Hii ni baada ya kushika nafasi ya kwanza kwenye chart ya Billboard upande wa Albam bora za Hip Hop & R &B, star anayeongoza kwa kufanya collabo zenye list ndefu ya wasanii Nchini Marekani, DJ Khaled ameingia kwenye headlines zetu baada ya Single yake...

Read more

AMISA MOBETO AMPA MASHARTI MAZITO LULU MICHAEL, IJUE HAPA...

Ni zile habari za kusisimua mtu wangu huku sote tukiwa tunasubilia kujua ni nini kaambiwa huyu staa wa bongo fleva Lulu Michael kutoka kwa mwenzie amisa mobeto.. jipatie nakala yako ya Gazeti la KIU sasa.

Read more

AIBU! AIBU! MHESHIMIWA ABAMBWA GESTI AKIWA NA MWANAE...

Katika habari zilizoshika headlines zetu leo ni pamoja na hii ya huyu mzee wa Kanisa, hii ni baada ya huyu mzee wa Kanisa kukutwa Gesti akiwa na mwanae huku taarifa zikisema ana wanawake wanne, alipigwa maswali akaanza kujing'atang'ata.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA LEO SEPTEMBER 19, 2016 YAMEAMKA NA HIZI KATIKA UDAKU NA HARD NEWS...

Naendelea kukusogezea zile habari kuu zinazoendelea kujili katika Magazeti yetu leo ikiwa leo ni September 19, 2016 na haya ndio magazeti yetu.

Read more

VIDEO: TAMASHA LA TIGO FIESTA LATIKISA DODOMA, WABUNGE NA NAIBU SPIKA...

Kama kawaida yangu kukusogezea vile vitu vitamvitamvinavyoendelea kujili kila kona na kila siku hii ni ya Dodoma mtu wangu kama uliikosa.

Read more

NI MAZINGIRA MAZURI YANAYOPENDEZA, KAMA UNAAMINI KWAMBA...

Ndugu msomaji, wa makala zangu napenda kukusogezea zile habari kutoka katika maeneo mbalimbali katika pande zote za Dunia. Endelea kuwa nami uyajue mengi.

Read more

ATUPWA JERA MIAKA 30 KWA KULAWITI MSICHANA MAKABURINI...

Mahakama ya Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi imemhukumu Ally Rashidi maarufu kwa jina la Ally mwizi kifungo cha miaka 30 Jela baada ya kupatikana na hati ya kumlawiti msichana mwenye umri wa miaka 25 Makabulini, hukumu hiyo iliyovuta hisia za watu wengi...

Read more

THE NEWS: NI DIAMOND PLATNUMS ANASEMA ANAJISIKIA KUTOA NYIMBO MPYA LEO...

Ni staa kutoka katika Tasnia ya bongo fleva Diamond Platnums, leo katika ukurasa wake wa Twitter amekuja na hii mpya akiwa ametweet akisema anajisikia kuachia nyimbo siku ya leo.

Read more
<< < 10 20 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974