Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

PETER AND PAUL (P SQUARE) WAINGIA UTOFAUTI, WATENGANA...

Katika habari nilizonazo hapa mjengoni ni pamoja na hii ya Mastaa hawa wawili kutoka Nigeria, Peter na Paul, inasemekana wanautofauti sasa hivi inamaana hawafanyi kazi moja sasa, hii imesemwa kupitia wimbo wao walioutoa wa PSquare - Bank Alert [Official...

Read more

DIMOND AWEKA REKODI NYINGINE MPYA HUKO YOUTUBE...

Tumekuwa tukitazama lekodi mbalimbali kutoka kwa wasanii wa nje kutokana na kazi zao kimziki, lakini leo ni zamu ya Tanzania akiwa ni Staa Diamond Platnumz ameweka lekodi kupitia wimbo wake huu mpya wa Salome unaoonekanakuwa na maviews wengi kwa siku...

Read more

DIAMOND PLATNUMZ HAKAMATIKI, ATOA KUFURU YA SHIKAMOO PESA...

Ni mkali wa bongo fleva na mmiliki wa Label ya WCB anayetamba na kibao cha "Salome" a. k .a baba Tiffah Dangote Diamond Platnumz, ni nooma!!, Mchumi adai Diamond ni Msanii ghali, Mzee wa mapesa.

Read more

MZEE YUSUFU APATWA NA MAZITO BAADA YA KUACHA MUZIKI NA KWENDA MAKKA...

Katika habari nilizonazo leo ni pamoja na hii ya Mzee Yusufu inayosema Mzee Yusufu amejikuta kwenye mtihani mzito baada ya kuacha muziki na kwnda Makka, imedaiwa kuwa, wake zake wameamua kumtibulia, huku Shehe Mkuu akizungumzia utajili na mali alizopata...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA LEO SEPTEMBER 23, 2016 YAMEAMKA NA HIZI KATIKA UDAKU NA HARD NEWS...

Mtu wangu ni kama kawaida ya ngu kukusogezea zile habari muhimu zinazoendelee kujili katika ulimwengu wetu huu, usikae mbali nami endelea kuwa kalibu nami na kuzisoma makala zangu.

Read more

ZARI AZUA KIZAZAA BAADA YA KUTINGA BONGO USIKU WA MANANE...

Zari the boss lady a .k .a mama Tiffah mke wa staa kutoka katika Tasnia ya bongo fleva Diamond Platnumz, leo ameonekana kwenye headlines zetu katika habari inayosema "Zari atinga Bongo usiku wa manane kukusanya kilicho chake", je mtu wangu wewe una maoni...

Read more

FROLA MVUNGI ANASWA AKIBAMBIWA NA KIGOGO, MAJANGA YAIBUKA...

Ni habari ambazo nimekutana nazo katika pitapita zangu mtaani, hiii ni habari inayosema Frola mvungi anaswa akikambiwa na kigogo katika sehemu za uficho.

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA LEO SEPTEMBER 22, 2016 YAMEAMKA NA HIZI KATIKA UDAKU NA HARD NEWS...

Mtu wangu usikae ,bali nami kwani nazidi kukusogezea zile habri ,muhimu zinazoendelea kujili katika ulimwengu wetu huu.

Read more

PICHA: HIZI NI DIAMOND NA HAMISA MOBETO KATIKA WIMBO WA "SALOME"...

Mtu wangu wa nguvu unauzungumziaje huu wimbo mpya wa Diamond wa "Salome"? maana kila mtu kaupokea kwa maono yake na tofauti, sasa ili nayeye ajue una maoni gani usiondoke bila kuacha comment hapo..

Read more

MREMBO KIDOA AKIWA KATIKA MWONEKANO WAKE MPYA...

Mtu wangu wa nguvu mi naendelea kuzulula huku na kule nikiwa nakutana na na walembo wa Tz wakiwa katika mionekano ya tofauti kabisa na huyu ni mrembo Kidoa. Tupia comment mtu wangu..

Read more
<< < 10 20 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974