Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

GOLI LA SIMBA DHIDI YA STAND UNITED HILI HAPA, SIMBA WANAPIGA TU NISIJUE KAMA WANAHESABU AULA!!...

Ndugu yangu ni November 2, 2016 ilipochezwa mechi kati ya Stand United na Simba SC, mchezo ulio waondoa kinyonge Stand United kwa kukubali kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa simba.

Read more

HAMISA MOBETO AJA NA MAPYA, YANAMHUSU DIMOND WA MAMA TIFFAH DANGOTE...

Le mtu wangu naendelea kukusogezea zile habari zinazowahusu wasanii mbali mbali kutoka bongo movie na bongo fleva. Sasa leo yameibuka mengine ya Hamisa Mobeto, hii ni baada ya kauli alio itoa ya kusema kwamba Diamond alimpatia mkwanja mrefu, kumbuka haya...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO NOVEMBER 3, 2016 KATIKA UDAKU ANA HARDNEWS...

Ikiwa nikawaida yangu kukusogezea kila kinacho jili ulimwenguni ndugu msomaji, Sasa leo naendelea kukusogezea Magazeti ya Tanzania.

Read more

VIDEO: HVI NDIVYO MOTO ULIVYOLIPUKA KATIKA BANDARI YA DAR ES SALAAM...

Leo Nov 1 2016 katika Bandari ya Dar es salaam kumetokea moto ambao umezua taharuki kwa baadhi ya wafanyakazi na watu wengine waliokuwa eneo hilo la bandari. Moto huo uliolipuka kwenye makontena na kuteketeza kontena tatu zilizokuwa na matairi ya magari...

Read more

MAKUBWA!!! SHOGA JAMES ADAI YEYE NI MREMBO KULIKO MISS TANZANIA 2016...

Kama hujasahau ndugu yangu kwamba siku ya Jumapili iliyopita ya october 30, 2016 ilikuwa fainali ya kumsaka Miss Tanzania 2016, iliyofanyika Jijini Mwanza, Na mshindi wetu akiwa ni mwana Dada aliyejulikana kama Diana, sasa leo yaibuka mapya ya Shoga mmoja...

Read more

UTABIRI MKUBWA! MSANII MKUBWA BONGO KUFA KIFO CHA KANUMBA, JE NI NANI?

Na hii ikiwa ni kati ya habari nilizonazo hapa Studio naendelea kuzisogeza kalibu ili ndugu yangu upate kuelewa. Sasa hii inamhusu Staa wa bongo fleva, likiwa ni swali ndugu yangu, tunabaki nalo mimi na wewe kuhusu huu Utabiri. Kutokana na hayo basi,...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO NOVEMBER 2, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Naendelea kukusogezea zile habarii muhimu kutoka katika pande zote za Dunia, Usiache kuwa kalibu yangu ndugu yangu maana utayakosa mengi...

Read more

SASA WAKATI WA MAJIPU NDIO HUU, SERIKALI KUHAKIKI VYETI VYA NDOA, GIZA LA TANDA....

Uongozi wa awamu ya tano sio wa Mchezo mchezo, kama kuna wale waliodanganya kwamba wao ni wanandoa ili waamie mjini sasa wakati wao ndo huu!!!

Read more

MAPYA YAIBUKA OMMY DIMPOZI AENDA WCB KWA DIAMOND, MAKUU YAIBUKA WATU MIDOMO NJE..

Ni habari niliyonayo hapa mjengoni inayomuhusu Ommy Dimpozi kwenda kwa Diamond, habari hii imesheheni maswali mengi sana kwa mashabiki likiwemo na la Je, Dimpozi anataka kujiunga na WCB au katembea tu? kaa tyuni mtu wangu nitakujuza ni nini kitaendelea...

Read more

JAY Z ASEMA AMAZITO AKIDAI BILA DIAMOND HAKANYAGI BONGO, CLOUDS ROHO ZAO JUU....

Huku STARZTZ wakiwa masikio nje wameisikia hii, Jay Z akisema kuja bongo bila Diamond hiyo wasahau, huku akitaja sababu tatu za kumtaka Diamond. Clouds Washangaa na kuanza mazungumzo na Lil Wayne, ngoma nzito Kiba atia neno na kujikuta akipewa jukumu...

Read more
<< < > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974