Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

ZA MAJANAGAAZI!! MAPYA YAIBUKA, IMEFICHUKA DIAMOND ASHIKWA UCHAWI, MENGI YAIBUKA....

Ni habari zilizoshika headlines zetu katika siku ya leo, hapa Studio, Mtu wangu huyu ni staa kutoka katika Tasnia ya Bongo fleva, mmiliki wa WCB Diamond Platnum, hizi habari zinasema Dimond ashikwa na Uchawi, Ianasemekana yanaswa namna anavyoiba Nyota...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO NOVEMBER 5, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Ndugu yangu kama unavyo elewa kwamba STARZTZ ni studio inayo hakikisha wewe unazipata habari zilizo kamili na zenye uhakika kabisa, sasa nakukalibisha kila siku uweze kuungana nami kwaajili ya kujua kila linalojili ulimwenguni.

Read more

HAYA NDIYO ALIYOYASEMA LINAH SANGA KUHUSIANA NA YEYE KUWA NA NAFASI KATIKA MZIKI WA BONGO...

Linah Sanga amedai kuwa nafasi yake bado ipo japo ameonekana kutofanya vizuri kwenye muziki kwa sasa. Miaka miwili iliyopita msanii huyo alionekana kuwa moto zaidi hasa baada ya kuachia wimbo wa ‘Ole Themba’ huku mashabiki wakitarajia mafanikio makubwa...

Read more

VIDEO: HUU NDIO UKWELI KUHUSIANA NA TAARIFA ZA ALIYEKUWA MODEL KWENYE WIMBO WA 'SALOME'' WA DIAMOND, ALIYESHUTUMIWA KUFA...

Mengi yamesikika kuhusiana na taarifa zisizo rasmi kuhusiana na kifo cha mrembo ambaye alionekana kwenye video ya “Salome” yakwake Diamond Platnumz. Unachotakiwa kukifahamu ni kwamba model aliyeonekana kwenye video ya Salome hahusiani kabisa na model...

Read more

VIDEO:MISS KILIMANJARO, GRORY MINJA KUTOKA KATIKA TOP 10 YA KUMSAKA MISS TANZANIA ASAINI MKATABA WA KAMPUNI YA MAGA "PII"...

Ni siku chache sasa toka mashindano ya kumsaka miss Tanzania 2016 kumalizika hivi karibuni ambapo Fainali zake zilifanyika kwenye jiji la Mwanza kwa mara ya kwanza toka kuanzishwa kwa mashindano hayo miaka zaidi ya ishirini iliyopita, Miss Tanzania 2016,...

Read more

WEMA SEPETU NAYE AJA NA HIZI MPYA, ADAI HAACHI MABWANA, ASEMA ANATAKA KUDEKEZWA...

Ni staa kutoka katika tasnia ya Bongo movie, Wema Sepetu leo katika studio zetu zimetufikia habari zinazo sema kwamba, yeye adai anachotaka ni kudekezwa tu baaaasi!!! aongezea akisema "Siachi mabwana"

Read more

DIAMOND KITU GANI? MASANJA MKANDAMIZAJI NAYE AINUA MAKUCHA, ANUNUA BONGE LA....

Ni staa kutoka katika tasnia ya Uigizaji ya Original Comedy Masanja Mkandamizaji, leo ameonekana kwenye headlines zetu kwa habari hizi zinazo muhusu. Habari hizi zinamuonyesha Masanja akitamba akisema kwamba pesa kitu gani, hii ni baada ya taarifa zinazosema...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO NOVEMBER 4, 2016 KATIKA UDAKU NA HARD NEWS...

Siachi kukusogezea zile habari muhimu kutoka katika pande zote za Dunia, mtu wangu STARZTZ ni kituo bora cha Matangazo, wasiliana nami kupitia 0714260485, 0759110974.

Read more

DOGO JANJA NDANI YA MAHABA MAZITO NA AGNESS MASOGANGE, IMETAFSILIWA....

November 2, 2016 katika Kipindi cha XXL cha Clouds FM Soudy Brown amemvutia waya staa wa single ya Kidebe, Dogo Janja ambaye inadaiwa yuko kwenye uhusiano wa kimapenzi na staa mwingine wa kike Agness Masogange. Dogo Janja amesema kuwa picha inayoonekana...

Read more

HAYA NDIYO MATOKEO YA UEFA CHAMPIONS LEAGUE NOVEMBER 2, 2016 MADRID WAKUBALI SARE...

Usiku wa November 2 2016 hatua ya makundi round ya nne ya michuano ya UEFA Champions League iliendelea kama kawaida kwa michezo nane kuchezwa, Real Madrid wao walikuwa wageni wa Legia Warsaw katika uwanja wa Wojska Polskiego. Haya ndio matokeo ya mechi...

Read more
<< < > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974