Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA HIZI LEO NOVEMBER 7, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS....

Mtu wangu usichoke kuendelea kuungana nami, kila siku kwaajili ya kuzijua habari mbali mbali kutoka pande zote za Dunia.

Read more

WATU HOI!! MAMA NA MTOTO WAZIKUNJA, NI WEMA SEPETU NA MAMA AKE WAPEANA KIPIGO...

Wema Sepetu Mungu anakuona, Mtu wangu ni wajibu wangu nihakikishe kila siku nakusogezea zile habari muhimu kabisa kutoka katika pande zote za Dunia, Sasa hii ni kutoka kwa Staa Wema Sepenga anayesadikika kuuchapa mkono na mama ake mzazi, kisa chajulikana...

Read more

UNYAMA DAR UMEZIDI SASA UMEZIDI, JAMAA AMUUA MKE WAKE KWA JEMBE KISA HIKI HAPA...

Mtu wangu hizi ni kati ya habari nilizonazo leo mtu wangu, zinamhusu jamaa kutoka Dar es salaam aliyemuua mke wake kwa kumchinja na jembe, kisa kimejulikana kwamba wamekaa miezi 6, mwanaume bila kupewa unyumba. Mwanaume adai ni bora jela kuliko kuendelea...

Read more

PICHA: NA HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA JANA NOVEMBER 5, 2016 KATIKA TIGO FIESTA DAR ES SALAAM....

Mtu wangu November 5, 2016 katika Viwanja vya Riders Kulikuwa na Jambo la maana sana mtu wangu, lakini kama ulikosa usiwe na shaka kwani nimeshakusogezea mchezo mzima hapa. Ikiwa ilikuwa ni mzunguko wa Fiesta katika mikoa yote Tanzania sasa jana ilikuwa...

Read more

HAIJAWAHI KUTOKEA, KATIKA FIESTA PANYA ROAD WAVAMIA SHOO, WATU KIBAO WAZIMIA....

Mtu wangu kazi yangu nin kuhakikisha hupitwi na kitu, na hii ni kutoka katika tukio muhimu sana nikiwa nazungumzia Tigo Fiesta Dar es Salaam iliyofanyika jana November 5, 2016 katika viwanja vya Riders. Habari nilizo nazo hapa ni kuhusu Panya road waliovamia...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO NOVEMBER 6, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS....

Mtu wangu wa nguvu naendelea kukusogezea zile habari muhimu kutoka katika pande zote za Dunia.

Read more

MAMA WEMA KAWAPA ONYO WALE WANAO MUUZA MWANAE WEMA KWA WANAUME...

Mama Wema anasikika akisema kuna Rafiki wa mwanae anaitwa Muna alichukua nguo ya ndani ya Wema ili aipeleke kwa waganga kwaajili ya kuchukua nyota yake ambapo Wema alipotafutwa na Soudy Brown amejibu hana tatizo na Muna. “Jamani hakuna kitu kama hicho,...

Read more

JACKLINE WOLPER AAANZA VITUKO, ATAKA KUMTEMA HARMONNIZE, WATU WAMSHANGAA....

Hii ni moja kati ya habari nilizonazo leo hapa mjengoni, zikiwa zinawahusu wapendanao hawa wawili Jackline Wolper na Harmonize, bila kukosea sidhani kama kuna mtu ata mmoja ambaye hakusikia kilichokuwa kikiendelea baina ya hawa wawili, Mtu wangu ni wiki...

Read more

AMISA MOBETO, SINA URAFIKI KABISA NA ZARI, AFUNGUKA SABABU ZA KWANINI ATOE KAURI HIYO...

Amisa Mobeto ameifungukia STARZTZ akisema haya "Mimi nilimjua Zari baada ya kuzaa na Diamond Platnumz, kwahiyo huwezi kusema kuwa mimi na Zari tuko sawa" Mobeto.

Read more

YAMEJULIKANA!! HAKUNA SIRI TENA JOKATE AFUNGUKA SIRI ZAKE ZOTE ZA KITANDANI NA ALIKIBA...

Huyu ni Mrembo Jokate Mwegelo akionekana katika headlines zetu leo, hizi habari zinamhusu, zimenikuta mtaani nikizurula huku na kule kuzisaka za kukujuza ndugu msomaji, nikakuikuta na hii ya Jokate akifunguka yake na mumewe Alikiba asema mahaba anayompatia...

Read more
<< < > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974