Kama kawaida yangu kukusogezea zile habri muhimu kutoka katika pande zote za Dunia, na hii sasa kutoka katika tasnia ya bogo fleva, Leo Nov 10 2016 kundi la wasanii wanaofanya vizuri kwenye hiphop game “Weusi” wamefanya collabo na King of Best Mellodies...
LIMEKUWA jambo la kawaida kwa viongozi mbalimbali na familia zao kutibiwa nje ya nchi au katika hospitali zinazotambulika kama za watu wenye hadhi na fedha lakini suala hili limekuwa tofauti kabisa kwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania John Magufuli....
Ni November 10, 2016 kutoka katika tasnia ya bongo fleva leo Mwana mziki Young Killer anatualika kuitazama video yake mpya hii inayoenda kwa jina la "Mtafutaji"...
Artist: Young Killer Msodoki Song Title: Mtaftaji Audio Produced By: Mr. T. Touch Video...
Kama uliikosa mtu wangu video hii ya donald Trump alivyoshinda kwenye uchaguzi wa kumrithi Barack Obama, hii hapa sasa nimekusogezea kalibu video yake.
Donald J. Trump Full Victory Speech after becoming the President-elect of the United States. Trump...
Baada ya Yemi Alade ambaye ni mshindi wa tuzo ya MTV MAMA 2016 baada kufanya vizuri na ngoma yake ‘Want you’, Leo November 9, 2016 mrembo huyu ametuletea Video nyingine tena kwenye TV iliyobeba title ya ‘Tumbum’ Nimeshakuwekea hapa chini, bonyeza play...
Kama unavojua mtu wangu, Marekani ililkuwa kwenye mchakato wa Kumtafuta Rais ambaye angefuata baada ya Barack Obama. Baada ya uchaguzi wa Rais wa Marekani kumalizika na mshindi kutangazwa kuwa ni Donald Trump wa chama cha Republican, imeripotiwa kuwa...
Ni katika Fiesta 2016 jijini Dar es salaam, kutoka katika Tasnia ya bongo fleva. Mwimbaji staa wa bongofleva Alikiba ni miongoni mwa mastaa wa bongo waliomiliki stage ya Tamasha la FIESTA 2016 Dar es salaam na kutumbuiza, kwenye hii video ame-perform...
Hi ni habari inayomhusu staa kutoka katika Tasnia ya bongo movie, Wema Sepetu na shosti wake Muna, Sasa mitandao ya Kijamii ni madudu yao tu!! kila mmoja amwanika mwenzake, ni ishue yakuendeana kwa Sangoma imebumburika.