Leo Noveber 15, 2016 katika kipindi cha Power Breakfast, ameyazungumza mengi kuhusiana na Ongezeko la viwanda na kupelekea vijana kupata Ajira. Mhe Mwijage amesema kwasasa viwanda vimeongezeka sana na akitolea mfano wa Mashine za kuzalisha Tofari aina...
Weekend hii siku ya Jumamosi mkoani Arusha wakati ndoa ikifungwa katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri ‘KKKT’, Usharika wa Usa River, wilayani Arumeru ziliibuka vurugu baada ya pande mbili zilizokuwa zikivutana upande mmoja ukidai bwana harusi anafunga...
Msanii kutokea Bongoflevani Chinbees ambae ameshafanya collabo na mastaa wakubwa kwenye music industry ya Tanzania akiwemo Nikki wa Pili kwenye mdundo wa ‘Sweet Mangi’ hivi karibuni aliachia mdundo wake uliobeba title ya ‘Zuzu’ uliotayarishwa na Producer...
Mtu wangu naendelea kukusogezea zile habari muhimu kutoka katika kila kona ya Dunia, nikiwa na lengo moja tu la kwamba wewe usihangaike kutafuta habari.
“Sitachukua hata Dola moja kwenye mshahara wa Urais”, ni kauli ya Rais mteule Donald Trump baada ya kuulizwa kwamba atakuwa akiufanyia nini mshahara wa Dola laki nne (400,000 kwa mwaka) ambazo ni mshahara wa Rais wa Marekani anapokuwa Ikulu ya White House....
Mtu wangu katika habari zilizoshika headlines zetu leo, ni pamoja na hii ya Wema Sepetu kutoka katika tasnia ya Bongo movie. Habari hii inasema yaanzishwa halambee ya Wema kuchangiwa anunuliwe Gari, kitendo kilichowafanya timu Wema kupanic.
Ni kati ya habari nilizonazo leo studio, zikiwa zinaongelea zaidi kuhusu ndoa ya Nuh Mziwanda. Mtu wangu wa nguvu kama unavojua yakwamba Nuh Mziwanda na Shilole ni watu waliokuwa katika penzi zito lakini baadae mambo yakaja kubadilika. Sasa leo habari...
Ni kawaida yangu ndugu msomaji, leo katika habari nilizonazo katika Studio yangu ni pamoja na hii ya mastaa hawa kutoka katika tasnia ya bongo fleva Lulu Diva na Alikiba wakionekana kuwaacha watu midomo wazi kwasababu ya utata uwa kimapenzi uliopo!!