Mtu wangu najua kwamba unapenda kufatilia na kujua nini kinaendelea kwa wasanii, ikiwa unataka ujue, ni nini kinaendelea katika mahusiano ya wasanii wa bongo. Leo katika Studio za STARZTZ tuna habari hii kutoka kwa Jokate akimpa makavu Diamond akisema...
Mtu wangu naendelea kukusogezea zile habari muhimu kutoka katika pande zote za Dunia, usikose kuungana nami kila siku kwaajili ya kujua ni nini kinaendelea Nchini..
Msanii mkongwe wa muziki wa bongofleva TID amedai uhalisia wa muziki huyo umepotea baaada ya baadhi ya wasanii kuiga muziki wa nje Akiongea katika kipindi cha Ubaoni cha EFM Alhamisi hii, TID amesema muziki wa bongofleva umetokana na mchanganyiko wa muziki...
Leo November 18, 2016 ninakuletea habari hii inayomuhusu Muigizaji wa kiume anaefanya vizuri katika tasnia ya Bongo Movie Tanzania Rammy Galis, leo Muigizaji huyu anatusogezea story kuhusu mahusiano yake ya kimapenzi na mrembo Agnes Masogange ambapo inadaiwa...
Nov 18, 2016 Msanii Timbulo ametosogezea hii video ya single mpya iitwayo "Usisahau" aliyomshirikisha Baraka The Prince. Ukishamaliza kuitazama hapa sio mbaya ukituachia na comment yako ili wakali hao wakipita hapa kujua Watanzania wameipokeaje.
Uploaded...
Katika habari nilizoamka nazo leo nipamoja na hii ya staa Diamond Platnumz kuonekana kwenye skendo hii hapa. Habari zinasema kwamba "Alitaka kumpa dawa aliyopewa Diamond, babu yake azikwa na siri nzito huku akisema kwamba itampa mafanikio miaka 20" diamond...
Na hii ni kati ya habari nilizonazo hapa Studio zinazomhusu staa wa bongo movie Wema Sepetu zinazo muonyesha Wema Sepetu akiwa anakula Denda na Mtoto mwenye umri wa kumzaa kabisa. Jambo hili limewasikitisha wengi sana na zaidi mashabiki wake, wakiishia...
Watu wasema Trump ni Magufuli wa Pili, Awa Rais wa kwanza MArekani kukataa Mshahara wa milioni 800, Inadaiwa ametangaza kuzifunga Whatsapp, Faceboock na Instagram Wamarekani matumbo joto waanza kuisoma namba.
Leo katika Studio zetu tumekutana na hii habari iliyoacha midomo ya watu wengi ikiwa wazi, Amber Lulu amekuja na hii habari akionyesha kujaza Tuhuma zake kuzielekeza kwa staa kutoka katika Tasnia ya Bongo fleva Harmonize. Amber Lulu amesema "Harmonize...