Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

HUU NDIO MWONEKANO WA SASA WA QUEENDARLEEN, NI SHEEDA....

Kama kawaida yangu mtu wangu nakusogezea zile habari kutoka sehemu mbali mbali zikiwemo za wasanii Michezo, Udaku, nakadgarika.

Read more

MWIGIZAJI NISHA AELEZA ALIVYONASA UJAUZITO KWA KISINGIZIO CHA KUBAKWA...

Leo November 21, 2016 U Heard ya XXL ndani ya Clouds FM imempata muigizaji wa Bongo Movie anayefahamika kwa jina la Nisha ambaye ana stori kuhusu ujauzito alioupata kutoka kwa aliyekuwa mpenzi wake na inaelezwa ni msanii wa BongoFlava. Stori haikushia...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO NOVEMBER 22, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Ungana nami mwandishi wako Elipidius Geofrey kila siku kwaajili ya kuzipata habari zinazojilikatika Ulimwengu wetu.

Read more

VIDEO MPYA: WALTER CHILAMBO ANATUALIKA KUISIKILIZA GOSPEL YAKE INAYOENDA KWA JINA "ASANTE"

Baada ya kutangaza kuacha bongofleva Walter Chilambo ameachia video ya wimbo wake mpya wa gospel unaoitwa ‘Asante’. Anatukaribisha kuangalia, pia usiache kuniachia comment yako juu ya wimbo huu ili Walter akisoma ajue watanzania wamepokea vipi wimbo pamoja...

Read more

HII NI LAANA!! WAKUTWA WAKIFANYA MAPENZI HOSPITALINI TENA WODINI BILA AIBU....

Najua mtu wangu hupendi kupitwa na habari yoyote, sana sana habari kama hizi za Udaku. Sasa leo nimekusogezea mkasa mmoja Katika Kijiji fulani, wamekutwa mgonjwa na aliyedai Muuguzi kupeana mambo yao Wodini mchana kweupe. Hii ni baada ya kusikia kwamba...

Read more

MAUZA UZA KARIAKOO YAZUA TAFRANI, MAMA NTILIE WAPANDISHA MASHETANI....

Katika habari nilizonazo leo nipamoja na hii leo Katika Soko Kuu la Dar es Salaam Kariakoo, Mama Ntilie 7, wapandisha mashetani, wamfanya Shehe kuwa kwenye wakati mgumu.

Read more

WILAYANI BIHARAMULO, WATU WALIA NJAA KWASABABU YA UPATIKANAJI DUNI WA CHAKULA, WADAI JUA NDO CHANZO...

Ndugu msomaji wa Makala zangu leo nikiwa katika Wilaya ya Biharamulo Mkoani Kagera nimekutana na wakazi mbali mbali katika maeneo mbalimbali ya Wilaya hii na kusikiliza kero zao kuhusiana na suala zima la uoatikanaji wa chakula. Nikiwa katika kijiji cha...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZIZ LEO NOVEMBER 21, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS....

Mtu wangu wa nguvu mimi nina kila sababu na wajibu wa kukusogezea zile habari kutoka katika kila kona ya Dunia, na hizi ni habari zilizoandikwa leo katika Magazeti yetu ya Tanzania.

Read more

MATOKEO YA MCHEZO WA MANCHESTER UNITED NA ARSENAL NOVEMBER 19, 2016 HAYA HAPA...

Novembe 19, 2016 ulichezwa mchezo barani Ulaya uliozikutanisha timu mbili , ikiwa ni Manchester United na Arsenal mchezo ulioisha kwa timu zote mbili zikitoka kwa sare ya bao 1-1.

Read more

DAWA ZA KULEVYA ZAZIDI KUMWEKA MATATANI WEMA SEPETU, KILA KUKICHA AFADHARI YA JANA...

Huyu ni staa Wema Sepetu kutoka katika Tasnia ya bongo movie, leo ninazo hizi habari zinazomhusu zikisema "Dawa za Kulevya zamweka matatani Wema Sepetu matatani" hii ni baada ya mazito yaliyoibuka baada ya Polisi kuweka mtego mkali nyumbani kwake.

Read more
<< < > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974