Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

VIDEO: RC PAUL MAKONDA AAMULU MWENYEKITI AKAMATWE KATIKATI YA MKUTANO...

November 24 2016 Mkuu wa mkoa wa Dar es salam, Paul Makonda ameendelea na ziara yake ya siku 10 ambayo lengo ni kukutana na wanannchi kwa ajili ya kusikiliza kero zao. Ilikuwa ni zamu ya Ilala na hapa ulikuwa ni mkutano wa hadhara Chanika, katika mkutano...

Read more

"RC PAUL MAKONDA AKALIA KUTI KAVU" MALALAMIKO YAJAA TELE KWA SABABU MBALI MBALI...

Mtu wangu leo November 25, 2016 katika habari nilizonazo leo ni pamoja na hii ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Poul Makonda kuonekana yupo katika wakati mgumu kwa kile kilichosemekana kuwa ni kutokana na kauli, na uamuzi wake mikutanoni. Wananchi walalamika...

Read more

MWANASOKA STEVEN GERRARD ATANGAZA KUSTAAFU SOKA, ADAI IMETOSHA...

Leo katika michezo na burudani nakusogezea na hii ya mwanasoka Mkongwe kabisa katika mechi aliyekuwa akiichezea Timu ya Liverpool, leo rasmi ametangaza kustaafu soka akidai imetosha.

Read more

NI MIAKA MINNE SASA YA KIFO CHAKE, KANUMBA AMTOKEA SOPHIA USIKU...

Mtu wangu bila kukosea nafikili utakuwa hujamsahau huyu staa kutoka katika tasnia ya Bongo movie Marehemu Steven Kanumba. Sasa leo katika habari nilizonazo hapa Studio ni pamoja na hii ya staa huyo kwa mujubu wa taarifa nilizonazo ni kwamba kamtokea mtoto...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAAMKA NA HIZI LEO NOVEMBER 25, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS...

Mtu wangu naendelea kukusogezea zile habari muhimu kutka katika pande zote za Dunia, zikiwa zimebeba matukio, michezo, udaku na mengine mengi. Haya yote ni ndani ya STARZTZ pekee.

Read more

MAJANGA MENGINE YAIBUKA KWA MUME MA LADY JAY D, ASAKWA NA WANAWAKE LUKUKI...

Leo katika tembea tembea yangu nimekutana na hii habari inayomhusu mume wa Lady Jay D. Habari hii inasema Mume wa Jide asakwa na wanawake wakidai kwamba ana macho yenye mvuto.

Read more

ALIYETOBOLEWA MACHO KILIO UPYA!! MTAFARUKU WAMKIMBIZA MUHIMBILI KWA MAUMIVU MAKALI...

Mtu wangu najua hujasahau kuhusu habari za yule mtu aliyetobolewa macho na Skopioni, sasa leo amekuja na kilio upya kwani umebainika Maumivu yaanza kuzidi, yahamia Mashavuni na Kiunoni, awasihi watanzania kumsaidia, "Watanzania nisaidieni nikatibiwe nje...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI LEO NOVEMBER 23, 2016 KATIKA UDAKU NA HARDNEWS....

Ndugu msomaji wa makala zangu usichoke kuwa nami kila siku ninapokusogezea habari kutoka pande zote za Dunia.

Read more
<< < > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974