Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

IKIWA NI RATIBA YA MICHUANO YA LIGI KUU NCHINI ENGLAND...

Ratiba ya michuano ya ligi kuu Nchini England imetoka jana ambapo mabingwa wa Leicester City wataaanzia ugenini dhidi ya Hull City, wakati huo Arsenal wakiwa nyumbani wakiwakaribisha Majogoo wa jiji Riverpool.

Read more

IBRA DA HUSTLER AFUNGUKA HAYA JUU YA MSICHANA JOKATE...

Rapper huyu wa kundi la Nako 2 Nako, Ibrah Da Hustler amesema staa wa kike anaetamani kuwa na mahusiano nae ni Jokate Mwegero.Hustler amesema kuwa Jokate ana kila sifa anazozitaka kutoka kwa mwanamke amemwagia sifa za kumwaga "Choice yangu kama kudate...

Read more

VIDEO: BIYONCE AIMBA WIMBO MAARUMU KWAAJILI YA WATU 50 WALIOKUFA HUKO ORLANDO...

Ikiwa ni baada ya mtu mmoja kuingia ndani ya Klabu ya Mashoga hao na kuwamiminia risasi, na mtu huyo aliyejulikana kwa jina la Omar Mateen Nchini Marekani.

Read more

TCRA: KIAMA CHA SIMU MBOVU NI LEO...

"Marehemu alikuwa mtiifu na alinipa michongo mingi nzi za uhai wake" hii ni kauli ambayo watu wengi walio na simu feki wamekuwa wakisema wakati kama huu wa kuzimwa kwa simu Alhamisi hii Juni 16, 2016.

Read more

Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo June 16, 2016 kwenye, Udaku, Hardnews na michezo

Magazeti ya leo juni,16 2016 June 16 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.

Read more

Usain Bolt kuchuana na Adam Gemili

Bingwa mara mbili wa Olimpiki wa riadha Usain Bolt amethibitisha kwamba yeye atashiriki katika michezo ya maadhimisho mjini London umbali wa Mita 200 hapo Julai 22 . Raia huyo wa Jamaica mwenye miaka 29 ambaye ana rekodi ya dunia ya kukimbia mita 200...

Read more

Kocha wa Brazil, Carlos Dunga atimuliwa.

Kocha wa Brazil Carlos Dunga ametimuliwa baada ya nchi hiyo kutupwa nje michuano ya Copa America Mchezaji wa zamani wa Timu ya taifa ya Brazil Carlos Dunga ametimuliwa kwenye nafasi ya Kocha wa Brazil kufuatia Nchi hiyo kutupwa nje ya Michuano ya Copa...

Read more

Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi leo June 15, 2016 kwenye, Udaku, Hardnews na michezo.

Magazetiya leo tarehe15 Jini 2016 June 15 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu..

Read more
<< < 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974