Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

MSONGAMANO MIKUMI WACHANGIA ONGEZEKO LA VVU...

Imeelezwa kuwa mamlaka ya mji mdogo wa Mikumi imekuwa na msongamano wa watu magari ya mizigo kutoka ndani na nje ya Nchi Agnes Mgonja amesema hayo alipokuwa akizungumza namna ya kusaidia wakazi wanaoishi katika maeneo ya barabara likiwemo eneo la Mik...

Read more

NYUMBA ZATEKETEA MOTO KATIKA KISIWA CHA UVUVI WILAYANI SENGEREMA...

Nyumba kadhaa za wakazi wa kisiwa cha Uvuvi cha Kome Mchangini Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza zimeteketea kwa moto usiku wa kamkia leo. Akiongea kwa njia ya simu kutoka kisiwani humo Ofisa mtendaji wa kata ya Buhama, Musa Mwilomba amesema chanzo cha...

Read more

NI VITA KALI SASA KATI IRENE UWOYA NA KAJALA...

Hii ni habari kunako Bongo movi Irene Uwoya na Kajala waanza kuwindana na kuingia kwenye vita kali kisa Mapenzi ya wasanii wa Bongo fleva. Chanzo kilicho chomoza juu ya wawili hawa Uwoya na Kajala ni baada ya Uwoya kumchukua mpenzi wa Kajala ambaye ni...

Read more

MAGAZETI YA TANZANIA YAMETUANDIKIA HAYA LEO JUNE 21, 2016...

Ikiwa nikawaida yangu kukusogezea post za habari kuu zilizojitokeza katika Magazeti ya Tanzania, usisite kusoma habari hizi kila siku mtu wangu usikubali kupitwa.

Read more

YANGA YAKUBALI KICHAPO CHA BAO 1-0 DHIDI YA MO BEJAIA...

Usiku wakuamkia June 20 Dar es salaam Young Africans walikuwa Algeria kucheza mchezo wao wa kwanza katika kundi A wa hatua nane bora dhidi ya wenyeji wao MO, katika Mechi hii Young Afrikans awalikubali kipigo cha bao 1-0.

Read more

ALIKIBA ASANUKA NA KUEMA MUZIKI WA BONGO FLEVA UNACHUKI SANA...

Msanii huyu wa bongo fleva amesema kuwa mziki hauna siri na muziki hauna tofauti kati ya mtu na mtu kwani u nawezakuwa unachuki na yeye lkaini akiimba Muziki mzuri utapenda na kuimba.

Read more

MKALI WA BONGO MOVIE HEMED AFUNGUKA HAYA MAZITO 'MADHARA YA KUTOKA NA MASTAA'...

Muuza sura kwenye filamu za bongo movie, HEmed Suleiman 'Hemed PHD' amefunguka akisema japo ni staa na mtu maarufu Tanzania lakini hajafikilia au kutaka kuwa na m ahusiano ya kimapenzi na staa yeyote wa bongo. Akipiga stori na Risasi Jumamosi PHD aliongeza...

Read more
<< < 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974