Msanii wa Muziki na Mwanasiasa kutoka Mji Kasoro bahari, Afande Sele, amefunguka na kusema kwasasa yeye hatarajii kuoa bado yuyupo yupo kwanza ingawa amekili wazi kuwa yupo na wahusiano na wanawake kama sita hivi ambao wanamsaidia kumtunzia [..]
Akizungumza jana Ikuru jijini Dar es salaam Rais John Pombe Magufuli amewataka wanasiasa waliopewa nafasi za kuwakilisha wananchi wajikite zaidi katika kuhudumia wananchi na kutimiliza mambo walio ahidi katika kipindi chao cha Kampeini.
Wakati akisafiri kuelekea Marekani kwaajili ya kushiliki utoaji wa tuzo za BET, Msanii huyu wa kizazi kipya Nassibu Abdul "Diamond" amewaomba Watanzania waendelee kumuombea ili arudi na tuzo hizo zinazotolewa Juni 26.
Baada ya Linha Sanga kupoteza acount yake ya Instagram yenye zaidi ya followers milioni 1.3, pamekuwapo na maneno mengi, wapo wanaosema ameiuza na kufungua nyingine.
Katika mandao wa Instagram kumekumbwa na gumzo kubwa linalowahusu wasanii wawili wa bongo fleva mmoja akiwa anatokea katika Mkubwa na wanawe (Aslay) na mwingine ni mwanadada mwenye voko kali kabisa kutoka katika mikono ya fiesta super Nyota Diva (Rub...
Mgongombea upinzani Nchini Jamhuri ya Kidemocrasia ya Congo Moise Katumbi amehukumiwa kifungo cha miaka 3 Jela na kupigwa faini ya dola milioni 6 kwa kosa la kununua nyumba kinyume cha sheria kwenye mji ulio mashariki mwa nchi wa Lubombasi.
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt Philip Mpango ametoa ufafanuzi huo mjini Dodoma wakati akiongea na vyombo vya Habari ili kutoa ufafanuzi wa baadhi ya hoja zilizotolewa na wabunge wakati wa kujadili bajeti kuu ya Serikali iliyopitishwa juzi na Bunge.