Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

NAIBU WAZIRI MASAUNI AKIWA TANGA KATIKA MAPANGO YA AMBONI...

Naibu Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akichungulia pango lililopo katika Msitu wa Mapangopori ya Amboni linalodaiwa kuwa ni njia kuu ya watu wanaohofiwa kuwa majambazi waliofanya mauaji katika Kitongoji cha Kibatini, Kata ya Mzizima...

Read more

AMBONI WATU 8 WAUAWA KUKATWAKATWA MAPANGA...

Watu wa Kijiji cha Mikocheni kalibu na Mapango ya Amboni Mkoani Tanga wameuawa kwa kukatwakatwa mapanga kwa kisa kinachodaiwa kufichua vitendo vya uhalifu vya baadhi ya watu Kijijini hapo.Imesemekana watu waliouawa wanadaiwa kufichua vitendo vya uhalifu...

Read more

POLISI YAWASHIKILIA WATU 15 (PANYA ROAD) KWA TUHUMA ZA KUVAMIA MAKAZI YA WATU...

Polisi kanda Maalumu ya Dar es salaam inawashikilia watu 15 maarufu kama Panya Road kwa madai ya kuvamia makazi ya watu wa eneo la Vingunguti Mtakuja na kuwashambulia na kuwajeruhi baadhi ya wakazi wa eneo hilo na kuwalazimisha kuwapatia pesa.

Read more

MKE WA RAIS MAMA JANETH MAGUFULI AWATAKA WATANZANIA KUWASAIDIA WAZEE WALEMAVU...

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akimkalibisha mke wa Waziri mkuu Mama Mama Marry Majaliwa ofisini kwake Magogoni jijini Dar es salaam, mama Majaliwa alifika hofisini hapo ili kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na Mke wa Rais.

Read more

SHILOLE AFUNGUKA SIRI 4 NZITO ZA YEYE KUPENDA DOGODOGO...

Msanii Nyota wa Muziki wa kizazi kipya Zuwena Mohamed alimaalufu kama Shilole amefunguka adharani na kutoa sababu kufuatia yeye kupenda kutoka na wanaume wanaotajwa kuwa na umri mdogo[...]

Read more

WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA UDSM WAGOMA...

Ni May 31, 2016 ambapo wanafunzi wa Chuo kikuu Cha Dar es salaam wameingia kwenye headlines baada ya kufanya mgomo wa kudai fedha za kujikimu katika mahitaji yao ya kila siku.

Read more
<< < 10 11 12 13 14 15 16 17 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974