Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

DIAMOND PLUTNUMZ APANGA KUMFYANIA BIRTHDAY PART TIFFAH, MLIMAN CITY...

Tiffah mtoto wa Diamond ana followers 623,049 Instagram, aya unahitaji nini hapo usema mtoto Tiffah ni supastaa kuliko kuliko wote Afrika?

Read more

MESSI NA RONALDO WAMEONEKANA KUWA WANASOKA PEKEE KATIKA TOP 10 YA WANAMICHEZO MATAJIRI DUNIANI...

Hii ni baada ya Forbes kutoa list ya wanamichezo 100 matajili Duniani kwa upande wa Top 10 wa mchezo soka ambao ndio unatazamiwa kuwa unaingiza hela nyingi Christian Ronaldo na Lionel Messi pekee ndio wamefanikiwa kuingia katika Top 10 hiyo.

Read more

BAJETI 2016/2017 WASANII, WABUNIFU NA WANAMICHEZO WATENGEWA BILIONI 3...

Serikali itatenga kiasi cha shilingi Bilioni tatukusaidia kazi za Wasanii,wabunifu na wanamichezo. Kiasi hicho kimependekezwa kwenye makadilio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2016/2017 kama yalivyowasilishwa na na Waziri wa Fedha na mipango Dkt...

Read more

Bonta akumbushia Mwl Nyerere alivyogoma kukutana na Muhammad Ali Dar...

Ikiwa ni katika kipindi ambacho Dunia inaendelea kuomboleza kifo cha aliyekuwa Bingwa wa zamani wa Masumbwi wa uzito wa juu Muhammad Ali, raper wa Bonta anatukumbusha historia fupi, Muhammad Ali alikuja mwaka 1980 lakini alijikuta kukutana na waziri mkuu...

Read more

HIZI NDIZO PICHA ZA MWONEKANO WA CHIDI BENZ ANAVYOENDELEA KWA SASA...

Kama tunavyoju kwamba Chid Benz anaendelea kufanyiwa matibabu baada ya kuacha kutumia madawa ya kulevya, huu ndio mwonekano wake kwa sasa.

Read more

CHRIS BROWN AJA NA HII MYPA YA KUCHORA TATTOO YA MTOTO WAKE MGONGONI...

Msanii Chris Brown ameonyesha Tattoo ya sura ya mtoto wake wa kike Loyalty ikiwa imechorwa mgongoni kwake, tattoo hiyo imeakamilika june 5, 2016.

Read more

PICHA: Dalili za Tiwa Savage kuwa amesaini Roc Nation ya Jay Z

Zile tetesi za Msanii Tiwa savage kutoka Nigeria kusainiwa katika label ya Roc Nation ya Rapper Jay Z zaweza kuwa sio tetesi tena, hiyo inatokana na Tiwa Savage pamoja na Manager wake Don Jazzy wa Mavin Record kupost katika kurasa zao za Instagram, picha...

Read more

ALIYEKUWA KOCHA WA NIGERIA STEPHEN KESHI AAGA DUNIA.

Stephen Keshi Mmoja wa wachezaji maarufu wa soka barani Afrika Stephen Keshi amefariki akiwa na umri wa miaka 54 ,shirikisho la Nigeria limethibitisha. Nahodha huyo wa zamani wa kikosi cha Nigeria, Keshi,alikuwa mmoja wa watu wawili pekee kushinda michuano...

Read more
<< < 10 11 12 13 14 15 16 17 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974