Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

RAPA NEY WA MITEGO AZIDI KUWASHUKIA HEWANI BONGO MOVI...

Staa wa Bongo fleva Ney wa Mitengo bado anaendelea kuwapa makavu live wasanii wa bongo movi hasa wakwaluaji wanaosubili vijana wa Bongo fleva wawe juu ndipo watoke nao kimapenzi.

Read more

HAKUNA USIRI TENA SASA, MREMBO CHYNA ADHIBITISHA UJAUZITO WAKE...

Ni baada ya yeye kupost picha zikionyesha ujauzito wake, pita alafu tupia comment aone una maoni gani juu yake.

Read more

CHEGE AACHIA UJUMBE MZITO KWA WANAOIHAMISHIA RAMADHANI MITANDAONI...

Msanii wa Bongo fleva Chege chigunda amewapa makavu wale wote wanaoihamishia Ramadhani katika mitandao ya kijamii [...]

Read more

BOT YAPANGA KUONDOA NOTI ZOTE ZA MIA TANO MIEZI MINE IJAYO...

Bank kuu ya Tanzania (BOT) imetangaza kuondoa noti zote za shilingi mia tano baada ya miezi minne baada ya uchakavu.

Read more

MATER J ATANGAZA RASMI KURUDI KWENYE GAME...

Mtayarishaji mkongwe wa muziki nchini, Master J ametangaza habari njema ya kurudi kwenye kutayarisha waimbaji wa Muziki baada ya kupumzika kwa miaka kadhaa.

Read more

ROSE NDAUKA KUJA NA HII MPYA YA 'ANGELA' BAADA YA MIAKA MIWILI KUPITA...

Mwigizaji mahiri Rose Ndauka kutoka katika Tasnia ya Swahiliwood, baada ya kuacha kushiriki kazi za watayarishaji wengine sasa aja na hii kazi yake mpya inayoitwa 'Angel' ambayo ni kazi yake mwenyewe kwani alisema hawezi kushiriki tena kazi za wengin...

Read more

MSANII RAYMOND AANZA KUTAMBA NA PESA ZAKE...

Wakati raia mtaani wakilalamika kuhusu ukata wa hela toka Rais Magufuli aingie madarakani Msanii kuoka katika lebo ya wasafi (WCB) ameonyesha mabunda ya pesa zake kwa kupost picha hii Instagram.

Read more

MR BLUE AFUNGUKA MAZITO JUU YA ALIYEKUWA MPENZI WAKE NA BARAKA DA PRINCE...

Mr Blue amekanusha tetesi zilizowahi kuwepo baina yake na Da Prince juu ya aliyekuwa mpenzi wake kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Baraka Da Prince.

Read more
<< < 10 11 12 13 14 15 16 17 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974