Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974

MAGAZETI YA TANZANIA YALICHOTWANDIKIA LEO APRIL 29, 2016..

Kama kawaida yangu kila siku kukudokeza baadhi ya HABARI zilizojitokeza katika Magazeti mbalimbali ya Tanzania. Nikianza na Gazeti la TANZANIA DAIMA lina habari inayosema "JP amponza bosi wa TIC", Gazeti la BINGWA lina habari inayosema "Mayanja aiandalia...

Read more

VIDEO MPYA: EMMANUEL AUSTIN ft. BEN POL. BOFYA HAPA..

Hii ni kazi ya Director Nisher kama ulikuwa umeimiss, Director Nisher kaweka mkono yake kwenye hii video mpya ya Mwimbaji Emmanuel Austin ambayo kamshirikisha Ben Pol inaitwa 'Boge'.

Read more

MADAKTARI WA UPASUAJI WA WATOTO WENYE VICHWA VIKUBWA WATIA KAMBI MWANZA...

Jopo la Madaktari Bingwa kutoka taasisi ya Mifupa na mishipa ya Fahamu (MOI) iliyopo Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam wametia kambi Mwanza kwaajili ya Upasuaji wa watoto wenye matatizo ya Vichwa vikubwa na Mgongo wazi huduma ambayo itatolewa...

Read more

WAZIRI MKUU AKIJIBU WASWALI BUNGENI JANA...

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Mbunge wa Mlalo, Rashid Shangazi (kulia) wakati alipomuuliza swali katika kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu, bungeni mjini Dodoma April 28, 2016.

Read more

ESCROW MPYA. SOMA HAPA KUPATA HABARI HIYO KAMILI...

Kutoka Bungeni Dodoma Mkutano wa Bunge umeendelea tena leo April 28, 2016 ambapo Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe amewasilisha Bungeni ripoti mpya ya tuhuma za IPTL, Tegeta Escrow pamoja na Standard Bank ya Uingereza. Katika mambo ambayo Zitto ameyazungumzia...

Read more

MTANZANIA PEKEE AMEBAKI KWENYE TOP 10 YA AFRICA TRACE TV...

Kama we ni mpenzi wa Burudani utataka kujua ni nyimbo gani kali zinazofanya viruri Africa, April 28, 2016 Trace TV wametuletea rist ya ngoma 10 kali kutoka Afrikka kupitia chati zao za Africa 10 ikiwemo ya Mtanzania Phyno -Ezege.

Read more

NEY WA MITEGO: NAONYESHA MALI ZANGU KUWAPA NGUVU VIJANA...

Msanii Ney wa Mitego amesema mala nyingi yeye hupenda kuonesha vitu anavyomiliki zikiwemo Gari, Nyumba hata Pesa kwa lengo kuu moja, akidai anafanya hivyo kuwatia moyo vijana walio kata tamaa akiwaonyesha ata yeye alitokea hukohuko mpaka akatoboza.

Read more

MTOTO GETRUDE CLEMENT ALIVYOWASILI NYUMBANI KWAO MWANZA AKITOKEA UN

Mtoto huyu mwenye umri wa miaka 16, jana aliwasili uwanja wa Ndege wa Mwanza na kupokelewa na wazazi wake, ndugu zake, jamaa na wengine waliokuwepo akitokea Un alikohutubia mbele ya Marais 60 na viongozi wa Mataifa zaidi ya 150 kwenye mkutano wa Umoja...

Read more
<< < 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 20 > >>

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974