Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
26 May

WAZO LA LEO!!

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #FANIKISHA MALENGO YAKO

Habari za asubuhi ndugu msomaji wa makala zangu. Nina hakika uko salama na mwenye afya njema. Leo napenda nikushirikishe jambo moja muhimu na ambalo ni hili hapa.
Ukiwa mwenye kutaka kujifunza ni vyema ujifunze kitu kimoja na ambacho ni "KUSIKILIZA" Kusikiliza ndikokutakokufanya uweze kujifunza jambo fulani. Unaweza kuwa munamweleza mtu kitu lakini kama sio msikivu hataelewa chochote.

STARZTZ

WAZO LA LEO!!
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974