TAMBUA THAMANI YAKO
Napenda kuchukua nafasi hii na kuwashukuru, Wanafunzi wote wa Shule ya Jangwani Sec School kwa ushirikiano mliotuonyesha, na kwa namna ya pekee nimshukuru mwalimu mkuu wa Shule hiyo kwa makaribisho yake na ushilikiano wake. Namshukuru Mungu pia kwa kipawa alichonipatia cha kuweza kuielimisha jamii na jamii kuweza kukipokea nilichonacho.
Jua yakwamba kila mtu anamaana yake ya kuzaliwa, kulingana na hayo basi jifunze kitu chochote chenye kuleta faida kutoka kwa kila mtu unayekutana naye itakusaidia
Ni event iliyokuwa na watu wengi na wageni wengi wakiwemo Group nzima ya Mwanamke Chanya, Mkurugenzi wa Rishna Products, Neema Mwasyebya (Mtunzi wa vitabu), Yupo Code group, Binti Ruzzuta Foundation na wengine wengi.
Karibu ujifunze nasi
"Tambua thamani yako"