Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
22 May

NJIA PEKEE YA KUSHINDA

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #FANIKISHA MALENGO YAKO

Je! unaijua njia pekee ya kushinda?

     Jibu hili hapa, Ukitaka kushinda fanya usivyovijua,

Hapa ninamaanisha kwamba kuliko kutumia muda wako mwingi ukichanganua ulivyonavyo pekee, tumia muda mwingi tutafuta mambo mapya ikiwa ni pamoja na kuongeza ujuzi akilini mwako. Vijana wengi tumekuwa tukichelewa kufanikiwa kwasababu tunafanya mambo tuyajuayo pekee, hatujiangaishi kutafuta mambo mengine na hii nimekutolea mafano wa mtu anayevaa saa ambayo haihesabu, hahahaha hatakuwa na msaada akiulizwa muda!!

NJIA PEKEE YA KUSHINDA
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974