Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
25 May

HUU NDIO UTAJILI WAKO!!!

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #FANIKISHA MALENGO YAKO

Unapokuwa na maamuzi sahihi, unafanikiwa haraka. Unajua kwanini? na jibu la hapa ni kwamba utafanikiwa haraka kwasababu utakuwa umepunguza msongamano wa mambo uliyokuwa ukifanya.
Jitahidi unapofanya maamuzi zingatia haya mambo matatu:
i. Uchaguzi wa Jambo
ii. Wakati
iii. Mabadiliko

Unakila sababu ya kutenga Muda/ Wakati wa Uchaguzi ulioufanya kuleta Mabadiliko!.
lilikuwa ni wazo la leo
waza ukiwa umetulia, tafakali kwa kina na fanya maamuzi leo.

STARZTZ

HUU NDIO UTAJILI WAKO!!!
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974