Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
22 May

FANIKISHA MALENGO YAKO

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #FANIKISHA MALENGO YAKO

Habari za asubuh ndugu yangu msomaji wa makala zangu, Ni hasubuhi njema kabisa leo na jambo la kumshukuru Mungu kwamba tuko salama.

Katika Makala yangu fupi ya leo asubuhi naomba nikufundishe jambo moja:

   KUJIAMINI

Je unajua ni nini maana ya Kujiamini?

Kwanza aminia kwamba una sababu ya wewe kuwa hai leo na ipo sababu kubwatu!, Mungu aliyekufanya ukawa hi leo amekufungulia milango ya Mafanikio kupitia nafasi za watu. Namaanisha nini nikisema Mungu kukufungulia Milgango kupitia nafasi za watu? hapa ninamaanisha kwamba Jirani yako ndiye aliye na msaada wa karibu sana, kabla ya mtu mwingine yeyote, kulingana na hayo sasa unapaswa kuupokea msaada wake kwako. Katika kuupokea msaada alionao ni lazima "Ujiamini", hii itamjengea yeye imani ya kutambua alichonacho na ukikipokea pia kitamjengea uimala wa kuwa na msaada kwa mda mwingine.

      Vijana wengi tumeshindwa au tunachelewa kufikia  malengo yetu kwasababu tunashindwa Kujiamini, siku zote tunaona kama kile kitu tulichonacho hakitoshi, na kuishia kutamani vitu vilivyo nje ya uwezo wetu.

     Ni nini cha kufanya sasa?

Nakufungua  leo kupitia "Tambua thamani yako"

    Anza kukifanyia kazi kile ulichonacho Moyoni mwako, na ukikifanya kifanye kwa asilimia Miamoja hii takusaidia Mpendwa

                    Tambua Thamani yako

                  @Mirror Foundation@

Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974