Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
23 May

BE PERFECT

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #FANIKISHA MALENGO YAKO

Habari za asubuh ndugu msomaji wa makala zangu!

  Najua leo unafikilia ni nini kizuri nakileta kwako. Ni kweli leo nimekulete funzo jingine ambalo nina hakika lina umuhimu kwako.

Leo napenda kukufundisha kuhusu, "Kuwa wa kipekee"

  Nini maana ya kuwa wa kipekee?

  Hapa nina maanisha kwamba kuwa aina ya mtu ambaye tunaweza kujifunza kitu kutoka kwako. Hii inamaana kwamba kwa kile kizuri ulichonacho basi tupatie na sisi kiwe msaada kwetu (Give back to the Community). Siku zote watu tuna kawaida ya kukumbuka mazuri tupewayo kuliko mabaya. Kuwa mwanga wa jamii, kuwa mwongozo wa jamii, kuwa mwelekezo wa jamii, inamaana kubwa sana na usipende kuweka  dhana hii kichwani mwako "Nataka kuwa kama fulani", kuwa kama fulani haisaidii ila inadumaza ila waza kwamba nataka kuwa zaidi ya fulani na hiyo ndiyo nia na mafanikio.

 

Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974