Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
17 May

VIDEO: HUU NDIO MTI WA MAAJABU ULIOKUWA GUMZO KUBWA KUKATAA KUKATWA...

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MATUKIOHeadlines za mti uliodaiwa kuwa wa maajabu Mwanza bado zingali zinatrend kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii hasa baada ya mti huo kudaiwa kuwa umewahi kuongea na kugoma kukatwa ingawa tayari umeshakatwa.

New story leo May 17, 2017 kuhusu mti huo ni mtu ambaye anadai kuwa huwa anawasiliana na Mungu na kumpa uwezo wa kutibu magonjwa mbalimbali huku akidai kuna vitu ameviona kwenye hilo tukio.

STARZTZ

Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974