VIDEO: SIMBA YAKUBALI KIPIGO CHA GORI 2 KUTOKA KWA KAGERA SUGAR. ANGALIA MATOKEO HAPA
Kama kawaida yangu kukusogezea zile habri za Michezo kutoka katika viwanja mbalimbali vya mpira na hii ni baada ya watani zao wa jadi Yanga kucheza jana April 1 2017 katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam na kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Azam FC, leo April 2 Simba waliingia katika uwanja wa Kaitaba kucheza dhidi ya Kagera Sugar na kupoteza kwa goli 2-1.