Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
17 Mar

VIDEO MPYA: HARMONIZE KATULETEA HII VIDEO MPYA KARIBU TUICHEKI....

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #MICHEZO NA BURUDANI

Ni kama kawaida yangu kukusogezea vile vitu vikali vinavyozidi kuushamili katika tasnia nzima ya Bongo fleva na baada ya hap sasa kwa wale wapenzi wa video kutoka Bongoflevani hii ni nyingine ambayo nisingependa ikupite ni kutoka WCB, Harmonize ameiachia video ya mdundo wake mpya ambayo video queen ni mpenzi wake kutoka kiwanda cha Filamu nchini Jackline Wolper, usisahau pia kuniachia comment yako hapa chini na mkali huyu ataiona hapa.

STARZTZ

VIDEO MPYA: HARMONIZE KATULETEA HII VIDEO MPYA KARIBU TUICHEKI....
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974