VIDEO: KAMA ULIIKOSA HII YA HUYU JAMAA NA DADA YAKE WALIOOANA NA KUZAA WATOTO WAWILI HII HAPA MTU WANGU...
Ilikuwa ni March 14 2017 kupitia Leo Tena ya Clouds FM, Mtangazaji Geah Habib ameileta hekaheka kutoka Dar es Salaam ambayo inawahusu ndugu wawili; mtoto wa mama mkubwa na mtoto wa mama mdogo ambao wako katika mahusiano ya kimapenzi na tayari wamezaa watoto wawili huku dada mtu akiwa na ujauzito wa mtoto wa tatu. Inatisha saana mtu wangu kumbe inawezekana!!!!