Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
13 Mar

MWANAUME MKALI AYAJIBU HAYA BAADA YA KUDAIWA KUSABABISHA WEMA SEPETU KUPOST PICHA AKITOA MACHOZI

Published by elipidius geofrey  - Categories:  #VIJIMAMBO

Leo March 13 2017 kwenye XXL ya Clouds FM, Soudy Brown ameileta U heard inayomhusu Miss Tanzania 2016 Wema Sepetu ambapo inasemekana yupo katika majonzi kufuatia kuvurugana na anayedaiwa kuwa mpenzi wake anayeitwa Kibadube, inadaiwa alimtambulisha hadi nyumbani kwao lakini mwanaume huyo alirudiana na mpenzi wake wa zamani ambaye ni msanii wa Bongo flavor.

Soudy Brown alimpigia simu Wema lakini hakupokea na kuamua kumtafuta Kibadube, haya ndio yalikuwa majibu yake……..>>> “Hamna bana hizo story za uwongo kwanza hajawahi kuwa mwanamke wangu mimi mwanamke wangu Rukia” Kibadube.

MWANAUME MKALI AYAJIBU HAYA BAADA YA KUDAIWA KUSABABISHA WEMA SEPETU KUPOST PICHA AKITOA MACHOZI
Comment on this post

About this blog

Kwa matangazo mbalinbali wasiliana nami kupitia, 0714260485,0759110974