WANAUME DAR WAAANZA KUSUTWA SASA KWANI IMEKUWA TOO MUCH, WENGI NI WANAUME SURUALI...
Mtu wangu kama na wewe uko dar basi hii inakuhusu. Katika habari nilizonazo leo hapa Studioni ni pamoja na hii habari inayosema Wanaume wa Dar sasa ni Too much , yadaiwa wengi ni wanaume Suruali, waambiwa waache mipasho umbea na ulegelege huku wakiwa wanaonekana wakiwa wamepanga foleni kwenye dawa za kuongeza nguvu za kiume
Yadaiwa kwamba majibizano ya Dimpoz na Diamond ndio chanzo.